Ha haha hahahaYani hapo kamtukana mpaka Masiha wa Nazareti
nakuchukua wewee kwakweliiiiNakuombea upate mwaya. Au unichukue mimi.
Au st john josephAsinywe wine ya St Anna ila anywe ya st Michael
kumbe witnessj we ni wifey material kumbe hunywi mibia safi sana.Uko kama mimi.....mi nikiona ke anakunywa mibia, au anavuta sigara ntamshangaa mpaka basi!
huyo probably wali nazi aka punger usimshangae.Usinywe wine banaa...si umemsikia Mzigua? π π π