Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

WANAUME WA DAR WANAGEGEDWA
Loh! Hii kashfa kwa wanaume wa Dar....sababu wameshindwa kukut*mba kwa miaka kibao humu JF licha ya kuwaomba dudu tiressly all day and night long.

Wanaume wa Dar huyu mwanamke.. Hamumpi dudu kwa uzuri wa kutosha huyu Miss ndio maana anawashuku mnaweza kuwa jinsia sawa nae yaani kwa lugha yake anahisi mnagegedwa na gegedu. [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume mkuje
Mbona umeita kama unanichongea ndugu yangu nichambwe?
 
Huwa nashangaa kuona Mwanaume anakula ubuyu au pipikijiti njiani.
Halafu ukute ubuyu una rangi nyekundu.
Mie kuna siku nilimshushua kaka mmoja kwenye daladala, tulikuwa tumebanana hadi wengine tumesimama ila yeye alikuwa amekaa, kaka yule alikuwa "hensamu" nikamuona akatoa tunda aina ya CHENZA akaanza kumenya na kula. Uvumilivu ulinishinda ni hivi nimejaliwa kuwa mdomo wazi (hadi siku nikipigwa ndio nitaacha), nikamwambia bila kumficha "kaka yangu umependeza na unavutia, ila unajiharibia kula hilo chenza" alikaa kimya hakusema neno. mxueeeeeeeew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…