momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,013
- 2,089
Halafu mnataka haki saws!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume mkuje
Wa kwangu ni wa uhakika. Kwani umeshavunja ungo?Siku hizi usafiri wa ungo sio wa uhakika
Loh! Hii kashfa kwa wanaume wa Dar....sababu wameshindwa kukut*mba kwa miaka kibao humu JF licha ya kuwaomba dudu tiressly all day and night long.WANAUME WA DAR WANAGEGEDWA
Mbona umeita kama unanichongea ndugu yangu nichambwe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume mkuje
Mwanaume kuvaa skin jeans na kujipodoa na make upMwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.
Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
@Davet[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Basi niseme St. Anna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huoni kichambo kimeshaanza kutokaMbona umeita kama unanichongea ndugu yangu nichambwe?
Na dompo vipiiYani St Anna imekaa kike sana.
mondi auMwanamme kuongea ana betua betua midomo
Halafu ukute ubuyu una rangi nyekundu.Huwa nashangaa kuona Mwanaume anakula ubuyu au pipikijiti njiani.
Hata chips mayai, mimi mwenyewe ndio mlo wangu huo,nikipata Zege langu na soda ya cocacola basi ohooo siku inapita vizuri..Bora chips kuku ila chips mayai.
Picha pleaseWANAUME WA DAR WANAGEGEDWA