[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sema wanachamba kistaarabu sio wale wenye maneno ya shombo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakuja upigwe sikuHalafu ukute ubuyu una rangi nyekundu.
Mie kuna siku nilimshushua kaka mmoja kwenye daladala, tulikuwa tumebanana hadi wengine tumesimama ila yeye alikuwa amekaa, kaka yule alikuwa "hensamu" nikamuona akatoa tunda aina ya CHENZA akaanza kumenya na kula. Uvumilivu ulinishinda ni hivi nimejaliwa kuwa mdomo wazi (hadi siku nikipigwa ndio nitaacha), nikamwambia bila kumficha "kaka yangu umependeza na unavutia, ila unajiharibia kula hilo chenza" alikaa kimya hakusema neno. mxueeeeeeeew
Bora dompo kali kali
Haya mdada nimekuelewaNdani ya daladala noooooooooo
Halafu ukute ubuyu una rangi nyekundu.
Mie kuna siku nilimshushua kaka mmoja kwenye daladala, tulikuwa tumebanana hadi wengine tumesimama ila yeye alikuwa amekaa, kaka yule alikuwa "hensamu" nikamuona akatoa tunda aina ya CHENZA akaanza kumenya na kula. Uvumilivu ulinishinda ni hivi nimejaliwa kuwa mdomo wazi (hadi siku nikipigwa ndio nitaacha), nikamwambia bila kumficha "kaka yangu umependeza na unavutia, ila unajiharibia kula hilo chenza" alikaa kimya hakusema neno. mxueeeeeeeew
hahahha, mimi nishahisi dalili mbaya za huu mdomo wangu, utanisababishia nipewe kipondo cha haja. hahahahahahaahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakuja upigwe siku
Sasa si tunakunywa tuwe high sio kwa afya. Mi mwenyewe Wine glass mbili uzungu huo siwezi. Chupa mbili hivii ndo naona hapa kweli nimekunywa wineMzigua bwana, sio mtaalamu lakini hivi vinywaji vina mda wake wa kutumia, shida yetu kubwa mtu anataka anywe saint Anna chupa yote at per.
A glass of wine after lunch, regardless aina gani is not a big deal. (Situmii hiyo Anna, ila nawasemea wanaokunywa, don't attack me[emoji16])
hahahahah niambie Shunie wangu. ahahahahahah. hivi kweli kama "kanoga" halafu anaanza kumenya chenza kwenye daladala anakula.hahahahahaha. kwanza ile harufu ya chenza imebaki mikononi mwake. hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mm sishei na mtu st anna!bora nikalale tu!dompo sawaYani St Anna imekaa kike sana.
Ukiona hivyo basi ujuwe kuwa nao ni vyombo vya stareheMwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.
Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
hahahahah niambie Shunie wangu. ahahahahahah. hivi kweli kama "kanoga" halafu anaanza kumenya chenza kwenye daladala anakula.hahahahahaha. kwanza ile harufu ya chenza imebaki mikononi mwake. hahahaha
hahahahahaahahhahahaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhhh
Dah, chupa mbili za wine? Teh teh...Sasa si tunakunywa tuwe high sio kwa afya. Mi mwenyewe Wine glass mbili uzungu huo siwezi. Chupa mbili hivii ndo naona hapa kweli nimekunywa wine
Zege si ulalijua Mzigua90?,sema ukimuona mwanamme anakula Zege kinywaji kikiwa Mirinda au Fanta,hapo lazima ukodowe macho..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Umenichekesha sana