Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sema wanachamba kistaarabu sio wale wenye maneno ya shombo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mpo bar raha sana mwanaume kuagiza ugali dona, nyama choma,firigisi au dona kuku/mbuzi !na raha zaidi mwanaume amalize fast kile chakula(mm hua napenda men anayekula msosi wote tena kwa haraka) akimaliza hapo ndo aanze kunibembeleza mbiti mbn huli (nakulaga taratibu sana!)(hapo na mm nimeagza chips kuku/maini/mshkaki!awe anadokoa kidg dogo kunipa kampan!

au la!tukiagza wote ngama(ugali) bas yy amalize fastaa!
akimaliza anywe maji mengi!...
km mnywaji aanze kunywa!

binafsi ht akikunong'oneza msepe unajua HAPA KADHI TUU!lol
 
Halafu ukute ubuyu una rangi nyekundu.
Mie kuna siku nilimshushua kaka mmoja kwenye daladala, tulikuwa tumebanana hadi wengine tumesimama ila yeye alikuwa amekaa, kaka yule alikuwa "hensamu" nikamuona akatoa tunda aina ya CHENZA akaanza kumenya na kula. Uvumilivu ulinishinda ni hivi nimejaliwa kuwa mdomo wazi (hadi siku nikipigwa ndio nitaacha), nikamwambia bila kumficha "kaka yangu umependeza na unavutia, ila unajiharibia kula hilo chenza" alikaa kimya hakusema neno. mxueeeeeeeew
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakuja upigwe siku
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu ukute ubuyu una rangi nyekundu.
Mie kuna siku nilimshushua kaka mmoja kwenye daladala, tulikuwa tumebanana hadi wengine tumesimama ila yeye alikuwa amekaa, kaka yule alikuwa "hensamu" nikamuona akatoa tunda aina ya CHENZA akaanza kumenya na kula. Uvumilivu ulinishinda ni hivi nimejaliwa kuwa mdomo wazi (hadi siku nikipigwa ndio nitaacha), nikamwambia bila kumficha "kaka yangu umependeza na unavutia, ila unajiharibia kula hilo chenza" alikaa kimya hakusema neno. mxueeeeeeeew
 
Mzigua bwana, sio mtaalamu lakini hivi vinywaji vina mda wake wa kutumia, shida yetu kubwa mtu anataka anywe saint Anna chupa yote at per.

A glass of wine after lunch, regardless aina gani is not a big deal. (Situmii hiyo Anna, ila nawasemea wanaokunywa, don't attack me[emoji16])
Sasa si tunakunywa tuwe high sio kwa afya. Mi mwenyewe Wine glass mbili uzungu huo siwezi. Chupa mbili hivii ndo naona hapa kweli nimekunywa wine
 
Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.

Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
Ukiona hivyo basi ujuwe kuwa nao ni vyombo vya starehe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana na wala haujakosea kumwambia
hahahahah niambie Shunie wangu. ahahahahahah. hivi kweli kama "kanoga" halafu anaanza kumenya chenza kwenye daladala anakula.hahahahahaha. kwanza ile harufu ya chenza imebaki mikononi mwake. hahahaha
 
Back
Top Bottom