Sijui niuze mazao yangu kwa hasara huku Nanjilinji nije Dar niwasaidie hao wanaume nimtafute miss nimtom*be usiku kucha bao 12 then hadi la 13 litoke upepo tu?Kwa kweli na mimi naungana na wewe huyu dada inabidi wanaume wa Dar wamfungie kazi. Katutukania wanaume wetu
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaa. Sio taboo sema iko ajabu tu
Kuna bia na bia ujue. Kipindi nakunywa safari moyoni mwangu mwenyewe nilikua naona aibu ila sasa naachaje kuinywa. Nilivyoacha nilishukuru kweli Mungu kuniepusha na aibu ya kunywa safariWeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!! ishia hapo hapo. Bia tamu sana siachi walaahi
Ahahahahah mzigua mchoyoo
nahuja spare my ribs jaman!haahah nimechekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaWeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!! ishia hapo hapo. Bia tamu sana siachi walaahi
We mkuu me beer ndio kinywaji changu yani hapo umeitaja mate yamenitokaMimi nakua nashangaa sana nikimuona mwanamke anakunywa Bia..
hahahahah, Safari, Balimi, Eagle, The Kiki hizo zimekaa kiume. hahahahahahaKuna bia na bia ujue. Kipindi nakunywa safari moyoni mwangu mwenyewe nilikua naona aibu ila sasa naachaje kuinywa. Nilivyoacha nilishukuru kweli Mungu kuniepusha na aibu ya kunywa safari
hahahhaah, kanichokoza huyo. hahahahahahhaa. eti ana i dis bia kwa mwanamke. hahahahahahnahuja spare my ribs jaman!haahah nimechekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mwanaume anakula chips yai legelege utegemee kazi ya kukata na shoka nani kasemaa. Ila mtu ale ugali na nyama ya kuchoma unamtamani ghafla tumpo bar raha sana mwanaume kuagiza ugali dona, nyama choma,firigisi au dona kuku/mbuzi !na raha zaidi mwanaume amalize fast kile chakula(mm hua napenda men anayekula msosi wote tena kwa haraka) akimaliza hapo ndo aanze kunibembeleza mbiti mbn huli (nakulaga taratibu sana!)(hapo na mm nimeagza chips kuku/maini/mshkaki!awe anadokoa kidg dogo kunipa kampan!
au la!tukiagza wote ngama(ugali) bas yy amalize fastaa!
akimaliza anywe maji mengi!...
km mnywaji aanze kunywa!
binafsi ht akikunong'oneza msepe unajua HAPA KADHI TUU!lol
hhhaha wanagusa sehemu maalum hawa lolWe mkuu me beer ndio kinywaji changu yani hapo umeitaja mate yamenitoka
Kwani chenza na chungwa tafauti yao nini...?Sema mwanamme kula Embe kali kwa chumvi na pilipili,hapo kidogo noma..Halafu ukute ubuyu una rangi nyekundu.
Mie kuna siku nilimshushua kaka mmoja kwenye daladala, tulikuwa tumebanana hadi wengine tumesimama ila yeye alikuwa amekaa, kaka yule alikuwa "hensamu" nikamuona akatoa tunda aina ya CHENZA akaanza kumenya na kula. Uvumilivu ulinishinda ni hivi nimejaliwa kuwa mdomo wazi (hadi siku nikipigwa ndio nitaacha), nikamwambia bila kumficha "kaka yangu umependeza na unavutia, ila unajiharibia kula hilo chenza" alikaa kimya hakusema neno. mxueeeeeeeew
hahahahahahahahahaIpo siku yako nakwambia. Na vile wenye midomo hatunaga nguvu sipati picha mbio utakazotoka
mm sishei na mtu st anna!bora nikalale tu!dompo sawa