Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

Kwa kweli na mimi naungana na wewe huyu dada inabidi wanaume wa Dar wamfungie kazi. Katutukania wanaume wetu
Sijui niuze mazao yangu kwa hasara huku Nanjilinji nije Dar niwasaidie hao wanaume nimtafute miss nimtom*be usiku kucha bao 12 then hadi la 13 litoke upepo tu?

Anawasumbua sana wanaume wa Dar.. they need to he represented.
 
mpo bar raha sana mwanaume kuagiza ugali dona, nyama choma,firigisi au dona kuku/mbuzi !na raha zaidi mwanaume amalize fast kile chakula(mm hua napenda men anayekula msosi wote tena kwa haraka) akimaliza hapo ndo aanze kunibembeleza mbiti mbn huli (nakulaga taratibu sana!)(hapo na mm nimeagza chips kuku/maini/mshkaki!awe anadokoa kidg dogo kunipa kampan!

au la!tukiagza wote ngama(ugali) bas yy amalize fastaa!
akimaliza anywe maji mengi!...
km mnywaji aanze kunywa!

binafsi ht akikunong'oneza msepe unajua HAPA KADHI TUU!lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mwanaume anakula chips yai legelege utegemee kazi ya kukata na shoka nani kasemaa. Ila mtu ale ugali na nyama ya kuchoma unamtamani ghafla tu
 
Halafu ukute ubuyu una rangi nyekundu.
Mie kuna siku nilimshushua kaka mmoja kwenye daladala, tulikuwa tumebanana hadi wengine tumesimama ila yeye alikuwa amekaa, kaka yule alikuwa "hensamu" nikamuona akatoa tunda aina ya CHENZA akaanza kumenya na kula. Uvumilivu ulinishinda ni hivi nimejaliwa kuwa mdomo wazi (hadi siku nikipigwa ndio nitaacha), nikamwambia bila kumficha "kaka yangu umependeza na unavutia, ila unajiharibia kula hilo chenza" alikaa kimya hakusema neno. mxueeeeeeeew
Kwani chenza na chungwa tafauti yao nini...?Sema mwanamme kula Embe kali kwa chumvi na pilipili,hapo kidogo noma..
 
Back
Top Bottom