Aongee vingine sio ataje beer jamanihhhaha wanagusa sehemu maalum hawa lol
Basi kula chips yai weka pembeni. Kuna mkaka ofisini anakulaga chips na yai teketeke.
Ipo siku yako nakwambia. Na vile wenye midomo hatunaga nguvu sipati picha mbio utakazotoka
Angepigwa ndo angejua kakosea au hajakosea.
Hivi wee chabuso unajua harufu ya chenza kweli wewe au hata hilo chungwa!! halafu ni kwenye daladala wala sio gari ya safari ndefu. Ni suala la kuvumilia afike home ale tunda lake, akimaliza ana nawa mikono yake kuondoa harufu ya tunda.Kwani chenza na chungwa tafauti yao nini...?Sema mwanamme kula Embe kali kwa chumvi na pilipili,hapo kidogo noma..
Mwanamke anatakiwa anywe glass ya wine,ukiitazama Glass ya wine imekuwa design kama umbo na mwanamke,nikimuona mwanamke anakunywa bia hata awe mzuri vipi siwezi kumtongoza wala kumwangaliaWe mkuu me beer ndio kinywaji changu yani hapo umeitaja mate yamenitoka
hahahahahahahahaahahahAngepigwa ndo angejua kakosea au hajakosea.
wanaume wamepishana sana yaan!HYU hata kitandani expect less!SITAKI KWAKWEL![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Umenichekesha sana
Ntakusaidia kushika miguu ukimfundisha adabuSijui niuze mazao yangu kwa hasara huku Nanjilinji nije Dar niwasaidie hao wanaume nimtafute miss nimtom*be usiku kucha bao 12 then hadi la 13 litoke upepo tu?
Anawasumbua sana wanaume wa Dar.. they need to he represented.
OOOOk sasa nimekufahamu wewe matatizo yako harufu,sio ulaji wa chenza kwa mwanamme..Hivi wee chabuso unajua harufu ya chenza kweli wewe au hata hilo chungwa!! halafu ni kwenye daladala wala sio gari ya safari ndefu. Ni suala la kuvumilia afike home ale tunda lake, akimaliza ana nawa mikono yake kuondoa harufu ya tunda.
YapOOOOk sasa nimekugahamu wewe matatizo yako harufu,sio ulaji wa chenza kwa mwanamme..
Hii thread ina mambo, ss harufu ya chenza inatatzo gani tena. Nipo njia pandaHivi wee chabuso unajua harufu ya chenza kweli wewe au hata hilo chungwa!! halafu ni kwenye daladala wala sio gari ya safari ndefu. Ni suala la kuvumilia afike home ale tunda lake, akimaliza ana nawa mikono yake kuondoa harufu ya tunda.
Beer sio kinywaji cha mwanamke..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi niko kwenye kipindi cha kuachana na Heineken. Shemeji ako mmoja kasema niachane nayo inazidi kunifutua
Naona unajitetea mchumba