Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

Kwani chenza na chungwa tafauti yao nini...?Sema mwanamme kula Embe kali kwa chumvi na pilipili,hapo kidogo noma..
Hivi wee chabuso unajua harufu ya chenza kweli wewe au hata hilo chungwa!! halafu ni kwenye daladala wala sio gari ya safari ndefu. Ni suala la kuvumilia afike home ale tunda lake, akimaliza ana nawa mikono yake kuondoa harufu ya tunda.
 
We mkuu me beer ndio kinywaji changu yani hapo umeitaja mate yamenitoka
Mwanamke anatakiwa anywe glass ya wine,ukiitazama Glass ya wine imekuwa design kama umbo na mwanamke,nikimuona mwanamke anakunywa bia hata awe mzuri vipi siwezi kumtongoza wala kumwangalia
 
Dah, chupa mbili za wine? Teh teh...
Kuna wine zipo kwa ajili ya kushushia na msosi best, St. Anna ikiwemo, na zingine ili tulewe.
Wine za kushushia msosi ni red wine kama Robertson.
Chupa mbili nyingi eeeh? [emoji23]
 
Zege si ulalijua Mzigua90?,sema ukimuona mwanamme anakula Zege kinywaji kikiwa Mirinda au Fanta,hapo lazima ukodowe macho..
Nalijua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijui niuze mazao yangu kwa hasara huku Nanjilinji nije Dar niwasaidie hao wanaume nimtafute miss nimtom*be usiku kucha bao 12 then hadi la 13 litoke upepo tu?

Anawasumbua sana wanaume wa Dar.. they need to he represented.
Ntakusaidia kushika miguu ukimfundisha adabu
 
Hivi wee chabuso unajua harufu ya chenza kweli wewe au hata hilo chungwa!! halafu ni kwenye daladala wala sio gari ya safari ndefu. Ni suala la kuvumilia afike home ale tunda lake, akimaliza ana nawa mikono yake kuondoa harufu ya tunda.
OOOOk sasa nimekufahamu wewe matatizo yako harufu,sio ulaji wa chenza kwa mwanamme..
 
We mkuu me beer ndio kinywaji changu yani hapo umeitaja mate yamenitoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi niko kwenye kipindi cha kuachana na Heineken. Shemeji ako mmoja kasema niachane nayo inazidi kunifutua
 
Hivi wee chabuso unajua harufu ya chenza kweli wewe au hata hilo chungwa!! halafu ni kwenye daladala wala sio gari ya safari ndefu. Ni suala la kuvumilia afike home ale tunda lake, akimaliza ana nawa mikono yake kuondoa harufu ya tunda.
Hii thread ina mambo, ss harufu ya chenza inatatzo gani tena. Nipo njia panda
 
Back
Top Bottom