Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume mkuje
Tupo
 
Yani St Anna imekaa kike sana.
Mzigua bwana, sio mtaalamu lakini hivi vinywaji vina mda wake wa kutumia, shida yetu kubwa mtu anataka anywe saint Anna chupa yote at per.

A glass of wine after lunch, regardless aina gani is not a big deal. (Situmii hiyo Anna, ila nawasemea wanaokunywa, don't attack me[emoji16])
 
mimi ni mwanaume nahitaji kujua majina ya wine isiyo kuwa na kilevi yani divai/mvinyo halisi usio tiwa chachu.

kama vipi rejea enzi za Yesu huko watu walipiga divai kama kawa
 
Loh! Hii kashfa kwa wanaume wa Dar....sababu wameshindwa kukut*mba kwa miaka kibao humu JF licha ya kuomba dudu tiressly all day and night long.

Wanaume wa Dar huyu mwanamke.. Hamumpi dudu uzuri ndio maana anawashuku mnaweza kuwa jinsia sawa nae yaani kwa lugha yake mnagegedwa na gegedu. [emoji23] [emoji23]
Kwa kweli na mimi naungana na wewe huyu dada inabidi wanaume wa Dar wamfungie kazi. Katutukania wanaume wetu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huoni kichambo kimeshaanza kutoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sema wanachamba kistaarabu sio wale wenye maneno ya shombo
 
Halafu ukute ubuyu una rangi nyekundu.
Mie kuna siku nilimshushua kaka mmoja kwenye daladala, tulikuwa tumebanana hadi wengine tumesimama ila yeye alikuwa amekaa, kaka yule alikuwa "hensamu" nikamuona akatoa tunda aina ya CHENZA akaanza kumenya na kula. Uvumilivu ulinishinda ni hivi nimejali kuwa mdomo wazi (hadi siku nikipigwa ndio nitaacha), nikamwambia bila kumficha "kaka yangu umependeza na unavutia, ila unajiharibia kula hilo chenza" alikaa kimya hakusema neno. mxueeeeeeeew
Kwa hyo mwanaumew kula chenza Hadharani ni Taboo nowdayays [emoji23][emoji15][emoji29][emoji15][emoji15]
 
Back
Top Bottom