Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

Achana nao tu wafate wanaokunywa wine mkuu sisi magubegube tunaokunywa beer tuache tu
Mwanamke anatakiwa anywe glass ya wine,ukiitazama Glass ya wine imekuwa design kama umbo na mwanamke,nikimuona mwanamke anakunywa bia hata awe mzuri vipi siwezi kumtongoza wala kumwangalia
 
Unatunyanyapaa.
 
Sasa na sisi tunaokunywa pombe kali itakuaje?
 
Afadhari mpungue jamani nakutakia kila la heri kwenye safari unayoianza heineken ilivyo tamu woiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi niko kwenye kipindi cha kuachana na Heineken. Shemeji ako mmoja kasema niachane nayo inazidi kunifutua
 
Wine za kushushia msosi ni red wine kama Robertson.
Chupa mbili nyingi eeeh? [emoji23]
Dah, kumbe red wine ni special kwa kushushia, ngoja niende pale nanihii, nikaangalie ipi itanifaa siku bosi wangu akinikumbuka. One glass sio big deal au sio?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mwanaume anakula chips yai legelege utegemee kazi ya kukata na shoka nani kasemaa. Ila mtu ale ugali na nyama ya kuchoma unamtamani ghafla tu
Aisee!
 
Dah, kumbe red wine ni special kwa kushushia, ngoja niende pale nanihii, nikaangalie ipi itanifaa siku bosi wangu akinikumbuka. One glass sio big deal au sio?
Sio kabisa. Kunywa tu. Ila isiwe ya St. Anna tafadhali
 
Back
Top Bottom