Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

Tabia ambazo sijawahi kuzizoea nikimuona mwanaume anafanya

Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.

Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa mawazo sana.
Mimi nashangazwa zaidi na mwanamke anaekunywa CIDER (savanna). Nimezoea kuona inanywewa sana na homeless. Mbaya zaidi Cider hio wanakunywa kwenye glass ya wine badala ya pint glass full of ice!
 
Hao vipi hawakushangazi?
IMG-20171218-WA0011.jpg
IMG_20180604_213731_536.jpg
 
Back
Top Bottom