Tabia gani hupendi au unapenda ukiwa safarini?

Hapo ukikutana na mtu fulani anaongea kwako ndio furaha zaidi.
 
Usafiri wa public kwanza napenda kukaa seat ya kwanza upande wa kushoto au seat nyuma ya dereva. Hua sipendi kabisa kulala nikiwa safarini, kwa hio nikikaa hapo huku naangalia mandhari ya mbele in case anything happens kidogo unakuwa aware.
Hua napenda sana yani wakati dereva anaendesha at times anapokua anabadilisha kama gear hivi najikuta automatically miguu yangu kama inakanyaga clutch na kubadili gear [emoji23][emoji1787][emoji1787](i really love this) though sipendi kuendeshwa...natamani mimi mwenyewe ndo nishike usukani nimwage moto barabarani

Sipendi kula asee... hua najiskia vibaya sana. Naeza safiri for 12 hours bila kula kitu. Mostly nachoeza kula ni kitu kikavu sana kama mahindi ya kuchoma. Hivo tu, nachukia watu wanaokula kwenye gari mostly vyakula ambavo vinakua na harufu mbaya kama mayai vile...dadeki. hua namind kinoma.

Kuongea ongea nikiwa kwenye basi thats not my thing, hua nachill tu nafocus mbele niangalie magari yanayokuja, nione overtaking anavozifanya dereva (akikosea najisemea huyu jamaa matako kweli, ila akienda kama mimi akilini mwangu ninavowaza jinsi ambavo ningefanya hiyo maneuvre ndo namuona kumbe ana akili)

Always napenda kukaa dirishani...ndo maana napendelea seat ya kwanza kushoto.

Sipendi gari iwashwe AC the whole way...napenda always madirisha yawe open mnakula kitu natural kutoka kwa Mungu.
 
Kweli hapo imekaa vizuri sana
 
Napenda kukaa dirishani siku zote nakata siti za dirishani na nna tabia ya kuzurumu watu siti za dirishani.niki kuta mtu kakaa kweny siti yangu nta hakikisha namuomba kistaarabu aki kataa tasubiri ule wakati wa kukojoa akishuka nakaa



Offline
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…