Mahusiano, mapenzi, urafiki!!!!!
Yaani jf kiboko. I cant stop laughing.
Yaani jf kiboko. I cant stop laughing.
Umevisualize nini weye? LOL
Amani iwe nanyi wanajamii forum,kuna rafiki yangu ana tabia ambayo may be isnt good that's anapenda kujamba ovyo hata mbele za watu bila aibu unakuta ndo ile mpo na watu wa heshma hafu ye ana have shuta like fyuuuuuu yani kimya kimya ila harufu yake ucpime then pipo wanajikaza kisopu huku kama wakihemea juu juu,sometyms mnakuwa ghetto hafu ngoma fuluni playing from radio ile mzuka unawapanda mnaanza kuyarudi mangoma ghafla mbruuuu plus harufu dah!hata kama nyimbo ni mpya inachuja hapo hapo raia wanacepa kwanza harufu idefuse ndo waback inside.Asking u pliiz,iz he right?
Ni rafiki yako au wewe mwenyewe? Kama ajamba kimya kimya wewe umemjuaje kama siyo wewe huyo rafiki yako? Hivi hii staili yako ya kuandika kiajabu ajabu unadhani itakufikisha popote? Swali lako lisingekuwa linahusu ushuuzi ningechangia sana. Ila kwa vile ni ushuzi na mambo ya ushuzi naona niishie hapa.
You real sound like mdingi mkali.
Angekuwa yeye angesema tabia inakera si angeacha?
Kuhusu kujua it is easy; kama mmekaa leo wanne, kesho yake watano lkn kt yao ni mimi na wewe na shaby; the other day mimi na wewe ktk kundi lingine na same thing happen, kwa elimination si nitajua ni mimi au wewe? Na kwa vile nina uhakika sio mimi si nitaconclude ni wewe!
Ngoja nichomekezee tu swali. Hivi wadada warembo au mastar wanajamba?