tabia hii inaweza ikamletea madhara?

tabia hii inaweza ikamletea madhara?

x - mas

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
931
Reaction score
612
Amani iwe nanyi wanajamii forum,kuna rafiki yangu ana tabia ambayo may be isnt good that's anapenda kujamba ovyo hata mbele za watu bila aibu unakuta ndo ile mpo na watu wa heshma hafu ye ana have shuta like fyuuuuuu yani kimya kimya ila harufu yake ucpime then pipo wanajikaza kisopu huku kama wakihemea juu juu,sometyms mnakuwa ghetto hafu ngoma fuluni playing from radio ile mzuka unawapanda mnaanza kuyarudi mangoma ghafla mbruuuu plus harufu dah!hata kama nyimbo ni mpya inachuja hapo hapo raia wanacepa kwanza harufu idefuse ndo waback inside.Asking u pliiz,iz he right?
 
Hii bomba na kiboko, iweke kwny jukwaa la jokes.
 
hii siyo joke jamani!kunarafiki yupo hivo nataka kujua kama yupo sahihi au la kama hayupo sahihi nimshauri aiche hiyo tabia.
 
Mh kuna siku humu tutaulizwa eti nipike/nile chakula gani leo kwangu?....!JF is never boring!
 
Ni rafiki yako au wewe mwenyewe? Kama ajamba kimya kimya wewe umemjuaje kama siyo wewe huyo rafiki yako? Hivi hii staili yako ya kuandika kiajabu ajabu unadhani itakufikisha popote? Swali lako lisingekuwa linahusu ushuuzi ningechangia sana. Ila kwa vile ni ushuzi na mambo ya ushuzi naona niishie hapa.
Amani iwe nanyi wanajamii forum,kuna rafiki yangu ana tabia ambayo may be isnt good that's anapenda kujamba ovyo hata mbele za watu bila aibu unakuta ndo ile mpo na watu wa heshma hafu ye ana have shuta like fyuuuuuu yani kimya kimya ila harufu yake ucpime then pipo wanajikaza kisopu huku kama wakihemea juu juu,sometyms mnakuwa ghetto hafu ngoma fuluni playing from radio ile mzuka unawapanda mnaanza kuyarudi mangoma ghafla mbruuuu plus harufu dah!hata kama nyimbo ni mpya inachuja hapo hapo raia wanacepa kwanza harufu idefuse ndo waback inside.Asking u pliiz,iz he right?
 
Ni rafiki yako au wewe mwenyewe? Kama ajamba kimya kimya wewe umemjuaje kama siyo wewe huyo rafiki yako? Hivi hii staili yako ya kuandika kiajabu ajabu unadhani itakufikisha popote? Swali lako lisingekuwa linahusu ushuuzi ningechangia sana. Ila kwa vile ni ushuzi na mambo ya ushuzi naona niishie hapa.

You real sound like mdingi mkali.
Angekuwa yeye angesema tabia inakera si angeacha?
Kuhusu kujua it is easy; kama mmekaa leo wanne, kesho yake watano lkn kt yao ni mimi na wewe na shaby; the other day mimi na wewe ktk kundi lingine na same thing happen, kwa elimination si nitajua ni mimi au wewe? Na kwa vile nina uhakika sio mimi si nitaconclude ni wewe!
 
Na wewe unajihesabu una rafiki hapo?
 
You real sound like mdingi mkali.
Angekuwa yeye angesema tabia inakera si angeacha?
Kuhusu kujua it is easy; kama mmekaa leo wanne, kesho yake watano lkn kt yao ni mimi na wewe na shaby; the other day mimi na wewe ktk kundi lingine na same thing happen, kwa elimination si nitajua ni mimi au wewe? Na kwa vile nina uhakika sio mimi si nitaconclude ni wewe!

Ngoja nichomekezee tu swali. Hivi wadada warembo au mastar wanajamba?
 
Pengine umchunguze zaidi ukute kuna tatizo juu yake!
*pengine rafiki yako ameshindwa kabisa kujiheshimu na tabia haina dawa.
Nyimbo mpya kuchuja, hap kunaweza kukawa hakuna ukweli ni zaidi ya maigizo!

Suprise karibu utoe ushauri
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nichomekezee tu swali. Hivi wadada warembo au mastar wanajamba?

Bibi yangu use to think kuwa Pope hajambi. LOL
Everybody does, ukiwa na watu unabana na unaenda toilet if u have to break the air!
 
Back
Top Bottom