hahahaa labda huenda ikawa,Msameheni huyo dada huenda tu hakusafiri na mumewe, inasemekana wadada wakiwa na kiu tabia huwa zinabadilika, akiwa kwao huyu dada huwa hana tabia zilizosemwa kwenye uzi huu. akikata kiu atarudia tu tabia yake nzuri ya kawaida
na wewe aliyekuambia ni wa uru kishumungu ni nani? au una hisi hivyo, yenye katoka machame wewe unasema uru, wapi na wapi?Msameheni bure ! Wa Uru Kishumundu ndivyo walivyo
Walifika waandishi hapa Msasani siku moja ,halafu Mama Maria Nyerere alikuwa anaongea anapigwa video,halafu huyu mdada mmoja akatoka pembeni kupiga simu,nikamfuata nikamwambia,'Wewe,zima hiyo simu''
Halafu baadaye kabla wale waandishi hawajaondoka,Maria akasema anataka kupiga picha na Ufoo Saro. Halafu mimi nikawa nauliza,''Ufoo Saro nia nani?'' Kumbe nido yule mdada niliyemwabia asipige simu.
Walifika waandishi hapa Msasani siku moja ,halafu Mama Maria Nyerere alikuwa anaongea anapigwa video,halafu huyu mdada mmoja akatoka pembeni kupiga simu,nikamfuata nikamwambia,'Wewe,zima hiyo simu''
Halafu baadaye kabla wale waandishi hawajaondoka, Mama Maria akasema anataka kupiga picha na Ufoo Saro. Halafu mimi nikawa nauliza,''Ufoo Saro ni nani?'' Kumbe nido yule mdada niliyemwambia asipige simu.
Halafu anatokea mtu bila ya ushahidi anam-diss binti wa watu.. Na wengine wanaojiita Great thinkers wanashabikia na kwa kumtuci kabisa binti wa watu.. Shame kwenu wote mliom-diss huyu binti bila ya ushahidi..
Walifika waandishi hapa Msasani siku moja ,halafu Mama Maria Nyerere alikuwa anaongea anapigwa video,halafu huyu mdada mmoja akatoka pembeni kupiga simu,nikamfuata nikamwambia,'Wewe,zima hiyo simu''
Halafu baadaye kabla wale waandishi hawajaondoka, Mama Maria akasema anataka kupiga picha na Ufoo Saro. Halafu mimi nikawa nauliza,''Ufoo Saro ni nani?'' Kumbe nido yule mdada niliyemwambia asipige simu.
Mkuu Jacobus, kwanza pole kwa hayo yaliyotokea.
Kwa sisi tunaomjua Ufoo Sara, ni mwanadada wa shoka kweli kweli na yuko poa sana!.
Kwa hayo uliyoelese, naomba nikuombe samahani kabla kwa sababu siamini kama ni kweli kilichotokea ni hiki ulichoeleza.
Haiwezekani mtu aje na kujichomolea tuu tv, kuna jambo behind ambalo wewe ama ulilisikia na hukulieleza kwa makusudi ama hukulijua kuwa lilitokea kabla na hali lazima ilikuwa hivi
Pasco.
- Lazima huyo dada aliwaona wahusika kabla na kuomba idhini ya kucharge laptop yake!.
- Alielekezwa hapo ilipo tv ndio the only swich socket inayofanya kazi na kuruhusiwa kwenda kuchomoa TV.
- Kwa vile lengo lilikuwa kuwahisha story kwa kuripoti live kwenye habari, due to pressure, alighafilika na kusahau kuwaomba radhi nyinyi mliokuwepo, kughafilika ni ubinaadamu pia!.
- Huyu ndie mwandishi aliyezunguka nchi nzima ndani ya helcopter ya Mbowe ile 2010 wakati mwenzake Makunga alizunguka na CCM! nadhali malipo ya Ufoo Saro baada ya kuwafanyia Chadema very positive reporting unayajua!. na ya Makunga pia unayajua!.
- Nakubaliana na wewe, wako watangazaji wa TV wanaojisikia sana na kujiona wao ni ma celeb, lakini wako watangazaji wengine tuu tena ni wazuri ila hawajisikii kabisa na kujihesabu wao ni watumishi wa watu!. Ofoo Saro, yuu mmoja wa Watangazaji hao!.
yatosha kweli?
ni ITV WALIMTUMA?
ni TAALUMA YAKE YA UANDISHI WA HABARI ILIMUELEKEZA KUFANYA HAYA?
sina mamlaka ya kuhoji utashi wako katika hili ila ni maswali tu najiuliza mwenyewe!
Mkuu Nova, sorry nimekuchanganya na Msungu!, then hope Msungu zamu yake ya kubadili kazi itakuwa ni 2015!, kwa sababu hata Mkuu Muhingo, alizunguka na JK mwaka 2005 bila kubadilishiwa kazi, alipozunguka tena 2010 ndipo akabadilishiwa kazi!.Pasco:
kuweka rekodi vizuri tu katika kampeni za uchaguzi mkuu sijawahi kuzunguka nchini nzima,kwa upande wa ccm kwa mwaka 2010 kwa itv aliyezunguka nchi nzima ni vedasto msungu na kwa chadema ni ufoo
una nini na mtoto wa watu. kudanganya hujui. kuongea ukweli huwezi.
Haya huoni!!!Ulikuwepo mpaka useme kuwa kadanganya?
Sikuvumilia na niliamka kwenda toa charger yake na kuwasha tv.?
Hata sisi tulishangaa mno baada ya kuelezwa ni yeye na aliondoka bila kuaga baada ya laptop yake kujaa.
Halafu anatokea mtu bila ya ushahidi anam-diss binti wa watu.. Na wengine wanaojiita Great thinkers wanashabikia na kwa kumtuci kabisa binti wa watu.. Shame kwenu wote mliom-diss huyu binti bila ya ushahidi..
Ila tu nikupe angalizo Serikali ijayo inaundwa na Chadema kama sifa anazo basi atakuwepo Serikalini ila cheo cha Udc kitabaki kuwa Historia, Serikali ya Chadema itafuta vyeo vyote vya kijinga kijinga vinavyopoteza pesa bure za walipa kodi.Mkuu Nova, sorry nimekuchanganya na Msungu!, then hope Msungu zamu yake ya kubadili kazi itakuwa ni 2015!, kwa sababu hata Mkuu Muhingo, alizunguka na JK mwaka 2005 bila kubadilishiwa kazi, alipozunguka tena 2010 ndipo akabadilishiwa kazi!.
Hongereni wanahabari mnaotuwakilisha huko!.
Pasco.
Mkuu Matola, kwa maoni yangu, nadhani katiba ijayo itafutilia mbali hivi vyeo vya ...Ila tu nikupe angalizo Serikali ijayo inaundwa na Chadema kama sifa anazo basi atakuwepo Serikalini ila cheo cha Udc kitabaki kuwa Historia, Serikali ya Chadema itafuta vyeo vyote vya kijinga kijinga vinavyopoteza pesa bure za walipa kodi.
CCM imeshashindwa kuongoza nchi, heri tuwape wengine, maana wakati Nyerere anakabidhiwa nchi unaweza kunieleza uzoefu aliutowa wapi wa kupewa nchi na Tanu ilikuwa na wasomi wangapi?Mkuu Matola, kwa maoni yangu, nadhani katiba ijayo itafutilia mbali hivi vyeo vya ...
Hili la kwamba serikali ijayo inaundwa na Chadema... hili nalo neno!, binafsi yangu as of now, Chadema bado sio tuu haijaonyesho uwezo wa kuunda serikali ijayo!, bali haina uwezo huo!. Kwa vile tuna mwaka na nusu mwingine wa maandalizi, labda Chadema itaonyesha uwezo na hatimaye kuwa na uwezo huo!.
Pasco.
Mkuu Matola, hili la CCM kushindwa kuongoza nchi, mbona ni la kitambo?, CCM imeshindwa kuongoza siku nyingi na ndio iliyotufikisha hapa kwenye huu umasikini uliotopea!, tatizo ni hao "watu" wa kuwapa hao wengine ni kina nani?!, kama na na wewe usije ukawa unawategemea wale umati wa watu kwenye maandamano au mikutano ya hadhara, 2015 utashangaa!.CCM imeshashindwa kuongoza nchi, heri tuwape wengine, maana wakati Nyerere anakabidhiwa nchi unaweza kunieleza uzoefu aliutowa wapi wa kupewa nchi na Tanu ilikuwa na wasomi wangapi?
Ila sitegemei wewe kuwa na mtazamo tofauti na huo unless bosi wetu Lowasa asiteuliwe kupeperusha bendera ya CCM, maana ile nafasi ya Salva Rweyemamu kwenye ufalme wa Lowasa ni yako.
Hizo ni picha tu.
Hata ukizifinya haziumii.
Waliompa kichambo wamempa kutokana na tabia zake.
Ni sawa leo hii uwekewe picha ya Sinta, so kwa akili yako utaanza kusema huyu Dada wa watu ni msafi kutokana na picha yake alivyopozi...