Tabia hii ya Ufoo Saro wa ITV ni uandishi wa habari au nini!

Tabia hii ya Ufoo Saro wa ITV ni uandishi wa habari au nini!

Status
Not open for further replies.
Msameheni huyo dada huenda tu hakusafiri na mumewe, inasemekana wadada wakiwa na kiu tabia huwa zinabadilika, akiwa kwao huyu dada huwa hana tabia zilizosemwa kwenye uzi huu. akikata kiu atarudia tu tabia yake nzuri ya kawaida
hahahaa labda huenda ikawa,
 
Walifika waandishi hapa Msasani siku moja ,halafu Mama Maria Nyerere alikuwa anaongea anapigwa video,halafu huyu mdada mmoja akatoka pembeni kupiga simu,nikamfuata nikamwambia,'Wewe,zima hiyo simu''
Halafu baadaye kabla wale waandishi hawajaondoka, Mama Maria akasema anataka kupiga picha na Ufoo Saro. Halafu mimi nikawa nauliza,''Ufoo Saro ni nani?'' Kumbe nido yule mdada niliyemwambia asipige simu.
 
Walifika waandishi hapa Msasani siku moja ,halafu Mama Maria Nyerere alikuwa anaongea anapigwa video,halafu huyu mdada mmoja akatoka pembeni kupiga simu,nikamfuata nikamwambia,'Wewe,zima hiyo simu''
Halafu baadaye kabla wale waandishi hawajaondoka,Maria akasema anataka kupiga picha na Ufoo Saro. Halafu mimi nikawa nauliza,''Ufoo Saro nia nani?'' Kumbe nido yule mdada niliyemwabia asipige simu.

Aisee! :amen:
 
Walifika waandishi hapa Msasani siku moja ,halafu Mama Maria Nyerere alikuwa anaongea anapigwa video,halafu huyu mdada mmoja akatoka pembeni kupiga simu,nikamfuata nikamwambia,'Wewe,zima hiyo simu''
Halafu baadaye kabla wale waandishi hawajaondoka, Mama Maria akasema anataka kupiga picha na Ufoo Saro. Halafu mimi nikawa nauliza,''Ufoo Saro ni nani?'' Kumbe nido yule mdada niliyemwambia asipige simu.

Ndio Huyu....???

123.jpgDSC_1990.jpgUfoo Saro.jpg
 
Halafu anatokea mtu bila ya ushahidi anam-diss binti wa watu.. Na wengine wanaojiita Great thinkers wanashabikia na kwa kumtuci kabisa binti wa watu.. Shame kwenu wote mliom-diss huyu binti bila ya ushahidi..

Ndiyo huyo,aliyepiga picha na Mama Maria Nyerere,kama nilivyosema.And that is the incident I was talking about.
 
Walifika waandishi hapa Msasani siku moja ,halafu Mama Maria Nyerere alikuwa anaongea anapigwa video,halafu huyu mdada mmoja akatoka pembeni kupiga simu,nikamfuata nikamwambia,'Wewe,zima hiyo simu''
Halafu baadaye kabla wale waandishi hawajaondoka, Mama Maria akasema anataka kupiga picha na Ufoo Saro. Halafu mimi nikawa nauliza,''Ufoo Saro ni nani?'' Kumbe nido yule mdada niliyemwambia asipige simu.

Brother katika simulizi yako hii fupi tu, inatoa ishara za ujumbe mzito ambao nikiunganisha na hoja ya mleta mada napata positive thinking juu ya madai ya mada hii!

Ni kweli Ufo Sarro hakujua taratibu za uchukuaji habari hasa za wasifu wa juu kuwa ni LAZIMA azime simu mpaka ukatokea wewe usie na taaluma kabisa ya habari na kumsihi azime simu?

Kupitia kisa chako hiki, sasa naiamini hoja ya mleta mada!

Simfahamu vizuri lakini kuna siku aliwahi kunihoji katika moja ya harakati zake za kusaka habari mtaani mitaa ya Posta pale,

Binti yetu ajirekebishe alandane na heshima ya chombo anachofanyia kazi!
 
Mkuu Jacobus, kwanza pole kwa hayo yaliyotokea.

Kwa sisi tunaomjua Ufoo Sara, ni mwanadada wa shoka kweli kweli na yuko poa sana!.
Kwa hayo uliyoelese, naomba nikuombe samahani kabla kwa sababu siamini kama ni kweli kilichotokea ni hiki ulichoeleza.

Haiwezekani mtu aje na kujichomolea tuu tv, kuna jambo behind ambalo wewe ama ulilisikia na hukulieleza kwa makusudi ama hukulijua kuwa lilitokea kabla na hali lazima ilikuwa hivi
  1. Lazima huyo dada aliwaona wahusika kabla na kuomba idhini ya kucharge laptop yake!.
  2. Alielekezwa hapo ilipo tv ndio the only swich socket inayofanya kazi na kuruhusiwa kwenda kuchomoa TV.
  3. Kwa vile lengo lilikuwa kuwahisha story kwa kuripoti live kwenye habari, due to pressure, alighafilika na kusahau kuwaomba radhi nyinyi mliokuwepo, kughafilika ni ubinaadamu pia!.
  4. Huyu ndie mwandishi aliyezunguka nchi nzima ndani ya helcopter ya Mbowe ile 2010 wakati mwenzake Makunga alizunguka na CCM! nadhali malipo ya Ufoo Saro baada ya kuwafanyia Chadema very positive reporting unayajua!. na ya Makunga pia unayajua!.
  5. Nakubaliana na wewe, wako watangazaji wa TV wanaojisikia sana na kujiona wao ni ma celeb, lakini wako watangazaji wengine tuu tena ni wazuri ila hawajisikii kabisa na kujihesabu wao ni watumishi wa watu!. Ofoo Saro, yuu mmoja wa Watangazaji hao!.
Pasco.

Pasco:
kuweka rekodi vizuri tu katika kampeni za uchaguzi mkuu sijawahi kuzunguka nchini nzima,kwa upande wa ccm kwa mwaka 2010 kwa itv aliyezunguka nchi nzima ni vedasto msungu na kwa chadema ni ufoo
 
yatosha kweli?
ni ITV WALIMTUMA?
ni TAALUMA YAKE YA UANDISHI WA HABARI ILIMUELEKEZA KUFANYA HAYA?
sina mamlaka ya kuhoji utashi wako katika hili ila ni maswali tu najiuliza mwenyewe!

Nafasi aliyokuwa nayo katika jamii na uwakilishi wake unatakiwa uende sambamba na utash na hekima ili aheshimike zaid. sio anafanya kazi nzuri alafu anashindwa kuishi kwa uzur. tunda tamu kwenye mti mchafu alilleti hamu. kama kweli alifanya hivyo aliwakosea sana. ajirekebishe
 
Pasco:
kuweka rekodi vizuri tu katika kampeni za uchaguzi mkuu sijawahi kuzunguka nchini nzima,kwa upande wa ccm kwa mwaka 2010 kwa itv aliyezunguka nchi nzima ni vedasto msungu na kwa chadema ni ufoo
Mkuu Nova, sorry nimekuchanganya na Msungu!, then hope Msungu zamu yake ya kubadili kazi itakuwa ni 2015!, kwa sababu hata Mkuu Muhingo, alizunguka na JK mwaka 2005 bila kubadilishiwa kazi, alipozunguka tena 2010 ndipo akabadilishiwa kazi!.

Hongereni wanahabari mnaotuwakilisha huko!.
Pasco.
 
Halafu anatokea mtu bila ya ushahidi anam-diss binti wa watu.. Na wengine wanaojiita Great thinkers wanashabikia na kwa kumtuci kabisa binti wa watu.. Shame kwenu wote mliom-diss huyu binti bila ya ushahidi..

Hizo ni picha tu.
Hata ukizifinya haziumii.
Waliompa kichambo wamempa kutokana na tabia zake.
Ni sawa leo hii uwekewe picha ya Sinta, so kwa akili yako utaanza kusema huyu Dada wa watu ni msafi kutokana na picha yake alivyopozi...
 
Mkuu Nova, sorry nimekuchanganya na Msungu!, then hope Msungu zamu yake ya kubadili kazi itakuwa ni 2015!, kwa sababu hata Mkuu Muhingo, alizunguka na JK mwaka 2005 bila kubadilishiwa kazi, alipozunguka tena 2010 ndipo akabadilishiwa kazi!.

Hongereni wanahabari mnaotuwakilisha huko!.
Pasco.
Ila tu nikupe angalizo Serikali ijayo inaundwa na Chadema kama sifa anazo basi atakuwepo Serikalini ila cheo cha Udc kitabaki kuwa Historia, Serikali ya Chadema itafuta vyeo vyote vya kijinga kijinga vinavyopoteza pesa bure za walipa kodi.
 
Mkuu Matola, kwa maoni yangu, nadhani katiba ijayo itafutilia mbali hivi vyeo vya ...

Hili la kwamba serikali ijayo inaundwa na Chadema... hili nalo neno!, binafsi yangu as of now, Chadema bado sio tuu haijaonyesho uwezo wa kuunda serikali ijayo!, bali haina uwezo huo!. Kwa vile tuna mwaka na nusu mwingine wa maandalizi, labda Chadema itaonyesha uwezo na hatimaye kuwa na uwezo huo!.

CCM imeshashindwa kuongoza nchi, heri tuwape wengine, maana wakati Nyerere anakabidhiwa nchi unaweza kunieleza uzoefu aliutowa wapi wa kupewa nchi na Tanu ilikuwa na wasomi wangapi?

Ila sitegemei wewe kuwa na mtazamo tofauti na huo unless bosi wetu Lowasa asiteuliwe kupeperusha bendera ya CCM, maana ile nafasi ya Salva Rweyemamu kwenye ufalme wa Lowasa ni yako.

Nb: acheni kutisha watu kwamba chama fulani hakijajipanga hakuna chama kinachokuja kuwafukuza kazi watumishi wa Serikali bali yanakuja mabadiliko na uwajibikaji tu, na ndio maana hatutaki wabunge waunde serikali kwenye Cabinet, Rais anatakiwa kuwa huru kummteuwa mchapa kazi yeyote yule.
 
CCM imeshashindwa kuongoza nchi, heri tuwape wengine, maana wakati Nyerere anakabidhiwa nchi unaweza kunieleza uzoefu aliutowa wapi wa kupewa nchi na Tanu ilikuwa na wasomi wangapi?

Ila sitegemei wewe kuwa na mtazamo tofauti na huo unless bosi wetu Lowasa asiteuliwe kupeperusha bendera ya CCM, maana ile nafasi ya Salva Rweyemamu kwenye ufalme wa Lowasa ni yako.
Mkuu Matola, hili la CCM kushindwa kuongoza nchi, mbona ni la kitambo?, CCM imeshindwa kuongoza siku nyingi na ndio iliyotufikisha hapa kwenye huu umasikini uliotopea!, tatizo ni hao "watu" wa kuwapa hao wengine ni kina nani?!, kama na na wewe usije ukawa unawategemea wale umati wa watu kwenye maandamano au mikutano ya hadhara, 2015 utashangaa!.

Hili la Salva wa El nalo neno!, mimi upigaji debe wangu kwa EL ni ili awe "pace maker" wetu katika safari ya kuelekea kule kwenye ule ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania, na ili litimie lile neno kuwa "rais wa 2015 lazima atatoka Kaskazini!", ila Salva wa kweli wa EL, keshaingia kazini rasmi ila mpaka sasa, bado ana warm up kupitia gazeti lile lile, kazi ile ile na mbinu zile zile!, makombora yakianza kuvurumishwa, mtapatafuta pa kumfichia huyo mgombea wenu wa Chadema!, ndio maana nakuambia tena kwa msisitizo kuwa as of now, Chadema bado haijaonyesha utayari wa kushika nchi 2015!.
Pasco.
 
Hizo ni picha tu.
Hata ukizifinya haziumii.
Waliompa kichambo wamempa kutokana na tabia zake.
Ni sawa leo hii uwekewe picha ya Sinta, so kwa akili yako utaanza kusema huyu Dada wa watu ni msafi kutokana na picha yake alivyopozi...

Tabia zake unazijua..? Hii habari imeletwa na mtu mmoja.. Haina ushahidi kama ni kweli tukio hilo lilitokea ama laa.. Halafu mnaanza kumtukana na kumchamba as if mmethibitishiwa kama ni kweli alifanya hivyo..! What if aliepost hii thread ana bifu nae..?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom