Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msameheni tu mdada wa watu, kwanza sura yenyewe kanyimwa:sura imekomaa kama jiwe la kusugulia miguu. Tatzo hz kaz za kupeanapeana kikabila bila cfa. "Masikini akipata........hulia mbwata. Hao ni miongoni mwa wanahabari wanaofikili kwa kutumia wowowo.
Kwani huyo Ufaulo Saro ana umaarufu gan za idi ya kuuza sura. Anajvunia kupresent kwa tv? Kwan analipwa pesa ya maana basi? Sema tu tatzo kakulia kjjni.
Yaani humu ndani ni balaa tupu watu wanamkandia dada wa watu, mara hana sura nzuri na kashfa kibao as if ndio kimeletwa kujadiliwa.Great thinkers wanatoa maneno ya kashfa kwa mwandishi kutokana na one sided story toka kwa a "great thinker".. Sio vizuri hata kidogo..
Msameheni tu mdada wa watu, kwanza sura yenyewe kanyimwa:sura imekomaa kama jiwe la kusugulia miguu. Tatzo hz kaz za kupeanapeana kikabila bila cfa. "Masikini akipata........hulia mbwata. Hao ni miongoni mwa wanahabari wanaofikili kwa kutumia wowowo.
Jumamosi tarehe 26/01/2013 nikiwa ofisini mida ya saa mbili usiku mie na jamaa zangu tukisubiri kusikiliza taarifa ya habari (StarTv) jamaa yetu mmoja akingia na watu watatu (mwanamke mmoja) wakiwa na laptops na video camera na kuanza kutafuta switchsockets ili kucharge.
Mwanamke akaenda moja kwa moja kwenye tv na kuizima na kuchomeka charger ya kilaptop chake na kutuacha wenyeji tukiduwaa na hatua hiyo.
Kwa kweli ilituuma mno na sikuvumilia, nikamuomba atafute pengine kwani switchsockets zipo nyingi cha ajabu mdada akasema sisi ndo tutafute pahala pengine pa kuangalia/kusikiliza taarifa hiyo ya habari. Sikuvumilia na niliamka kwenda toa charger yake na kuwasha tv. Baadae mmoja wao akaniambia yule mdada ni Ufoo Saro wa ITV, tulishangaa sana kwa tabia hiyo na kujiuliza mbona busara hana au kwa kuwa ni mwandishi wa habari (tena ITV) au katoka Mzizima (Dar) na kutudharau wa mikoani?
Sasa kama mtu ambae hana simile si angemzaba kibao?
Labda anadhani yeye ni celebrity na anaamini kuwa celebrity maana yake ni kufanya atakavyo...
Waandishi wengi wananyodo sana si huyo tu
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Tena mmekuwa wastaarabu sana kumvumilia, huyoo angekumbana na mimi angetafuta pakutokea.
Mtu kama huyo anakuwa hana adabu na nna uhakika angeingia kwa heshima na adabu basi angefanyiwa kila kitu na watu wangeridhia hata kuzima tv na kumchajia vitu vyake. Asiyefundwa na mama'e hufundwa na ulimwengu.
Huyu ni mwandishi (reporter) wa habari tena chombo kikubwa na kinachoheshimika ITV, ni sawa na wasanii tu ambao wanajulikana mno hivo matendo yake kama hayaendani na ustaarabu INAKERAAAAAA.
Msameheni bure ! Wa Uru Kishumundu ndivyo walivyo
Yaani humu ndani ni balaa tupu watu wanamkandia dada wa watu, mara hana sura nzuri na kashfa kibao as if ndio kimeletwa kujadiliwa.
Hata Mada kama hii unaleta humu jamvini........! aaaaaa, mkamalizani wenyewe...........Jumamosi tarehe 26/01/2013 nikiwa ofisini mida ya saa mbili usiku mie na jamaa zangu tukisubiri kusikiliza taarifa ya habari (StarTv) jamaa yetu mmoja akingia na watu watatu (mwanamke mmoja) wakiwa na laptops na video camera na kuanza kutafuta switchsockets ili kucharge.