Tabia hii ya Ufoo Saro wa ITV ni uandishi wa habari au nini!

Tabia hii ya Ufoo Saro wa ITV ni uandishi wa habari au nini!

Status
Not open for further replies.
Msameheni tu mdada wa watu, kwanza sura yenyewe kanyimwa:sura imekomaa kama jiwe la kusugulia miguu. Tatzo hz kaz za kupeanapeana kikabila bila cfa. "Masikini akipata........hulia mbwata. Hao ni miongoni mwa wanahabari wanaofikili kwa kutumia wowowo.

Kwani huyo Ufaulo Saro ana umaarufu gan za idi ya kuuza sura. Anajvunia kupresent kwa tv? Kwan analipwa pesa ya maana basi? Sema tu tatzo kakulia kjjni.

Acha hizo wewe ndio umemuumba??
 
Pengine alichukia kuona mnaangalia StarTV
 
hahahahahhahahahahahhhhh ufooooo sarooooooo kakukosea nn jamani?

mbona umemshukia na posts mbili mbili?

Msameheni tu mdada wa watu, kwanza sura yenyewe kanyimwa:sura imekomaa kama jiwe la kusugulia miguu. Tatzo hz kaz za kupeanapeana kikabila bila cfa. "Masikini akipata........hulia mbwata. Hao ni miongoni mwa wanahabari wanaofikili kwa kutumia wowowo.
 
Jumamosi tarehe 26/01/2013 nikiwa ofisini mida ya saa mbili usiku mie na jamaa zangu tukisubiri kusikiliza taarifa ya habari (StarTv) jamaa yetu mmoja akingia na watu watatu (mwanamke mmoja) wakiwa na laptops na video camera na kuanza kutafuta switchsockets ili kucharge.

Mwanamke akaenda moja kwa moja kwenye tv na kuizima na kuchomeka charger ya kilaptop chake na kutuacha wenyeji tukiduwaa na hatua hiyo.

Kwa kweli ilituuma mno na sikuvumilia, nikamuomba atafute pengine kwani switchsockets zipo nyingi cha ajabu mdada akasema sisi ndo tutafute pahala pengine pa kuangalia/kusikiliza taarifa hiyo ya habari. Sikuvumilia na niliamka kwenda toa charger yake na kuwasha tv. Baadae mmoja wao akaniambia yule mdada ni Ufoo Saro wa ITV, tulishangaa sana kwa tabia hiyo na kujiuliza mbona busara hana au kwa kuwa ni mwandishi wa habari (tena ITV) au katoka Mzizima (Dar) na kutudharau wa mikoani?

Sasa kama mtu ambae hana simile si angemzaba kibao?

Tena mmekuwa wastaarabu sana kumvumilia, huyoo angekumbana na mimi angetafuta pakutokea.

Mtu kama huyo anakuwa hana adabu na nna uhakika angeingia kwa heshima na adabu basi angefanyiwa kila kitu na watu wangeridhia hata kuzima tv na kumchajia vitu vyake. Asiyefundwa na mama'e hufundwa na ulimwengu.
 
Labda anadhani yeye ni celebrity na anaamini kuwa celebrity maana yake ni kufanya atakavyo...

celebrity bongo..........
ulimbukeni tu umewajaa na ukosefu wa nidhamu, hata angekuwa nani ustaarabu ni jambo la kibinadamu na utu.
pambafu zake
 
Waandishi wengi wananyodo sana si huyo tu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

siyo waandishi tu wengi wanaojiona wameonekana katika kideo mara moja au mbili wanafikiri wao ni wa thamani sana kupita wengine ukikutana nao utachoka kwa kina sisi tunaishia kudharau tu
 
Tena mmekuwa wastaarabu sana kumvumilia, huyoo angekumbana na mimi angetafuta pakutokea.

Mtu kama huyo anakuwa hana adabu na nna uhakika angeingia kwa heshima na adabu basi angefanyiwa kila kitu na watu wangeridhia hata kuzima tv na kumchajia vitu vyake. Asiyefundwa na mama'e hufundwa na ulimwengu.

haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mkuu umenena vyema
 
Huyu ni mwandishi (reporter) wa habari tena chombo kikubwa na kinachoheshimika ITV, ni sawa na wasanii tu ambao wanajulikana mno hivo matendo yake kama hayaendani na ustaarabu INAKERAAAAAA.

Lakini swala ni kujua hicho kitendo kilitokea wapi ndio kuanzia hapo tunaweza kuanza kujadili maana inawezekana hao waliokuwa wanaangalia Star Tv walikuwa kwenye ofisi za ITV ambao ni washindani sasa utegemee nini hapo?
 
Naomba Picha yake ya ukweli, siyo ile passport inayoonekana kny ITV
 
Yaani humu ndani ni balaa tupu watu wanamkandia dada wa watu, mara hana sura nzuri na kashfa kibao as if ndio kimeletwa kujadiliwa.

Kwanza hamna cha kujadiliwa hapa Mkuu Katavi.. Hii ni story ilioletwa ya upande mmoja.. Kwanini wakimbilie kumuhukumu dada wa watu tena kwa maneno ya kashfa..? Nadhani mods wanatakiwa wawe makini sana na threads za aina hii.. Hakuna yeyote humu atakaekubali kutukaniwa mama yake/dada yake kama alivyotuciwa huyu dada..
 
Jumamosi tarehe 26/01/2013 nikiwa ofisini mida ya saa mbili usiku mie na jamaa zangu tukisubiri kusikiliza taarifa ya habari (StarTv) jamaa yetu mmoja akingia na watu watatu (mwanamke mmoja) wakiwa na laptops na video camera na kuanza kutafuta switchsockets ili kucharge.

Mwanamke akaenda moja kwa moja kwenye tv na kuizima na kuchomeka charger ya kilaptop chake na kutuacha wenyeji tukiduwaa na hatua hiyo.

Kwa kweli ilituuma mno na sikuvumilia, nikamuomba atafute pengine kwani switchsockets zipo nyingi cha ajabu mdada akasema sisi ndo tutafute pahala pengine pa kuangalia/kusikiliza taarifa hiyo ya habari. Sikuvumilia na niliamka kwenda toa charger yake na kuwasha tv. Baadae mmoja wao akaniambia yule mdada ni Ufoo Saro wa ITV, tulishangaa sana kwa tabia hiyo na kujiuliza mbona busara hana au kwa kuwa ni mwandishi wa habari (tena ITV) au katoka Mzizima (Dar) na kutudharau wa mikoani?

Sasa kama mtu ambae hana simile si angemzaba kibao?
Hata Mada kama hii unaleta humu jamvini........! aaaaaa, mkamalizani wenyewe...........
 
DUH!!! mkuu mnakaa ofisini hadi saa mbili usiku?? au ndio kusema nyumbani hakuna TV inabidi kusubiria taarifa ya habari ofisini???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom