DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
We unabidi uache tabia za kijinga kwenye maswala ya pesa ya Mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unabidi uache tabia za kijinga kwenye maswala ya pesa ya Mtu
Binadamu ni mnyama pekee ambaye anaona aibu kula
Sasa nyie si ndo wahanga wa kushughulikiwa toka lini mkashughulikia watu? Nyie ndio mwapenda kushughulikiwa watoto mchelemchele wa kitanga warembo kama dada zenu
Subiri uzae watoto uwakataze kula wakiwa barabarani wanatembea.
Nahisi hata wewe walikushughulikia ndio maana ukaacha
Vyovyote ufanyavyoMimi nazalisha sizai kaka mkuu
Inategemea unaishi wapi ila huku nilipo hata ukitembea na jiko huku unapika hakuna tatizo
Kweli Mkuu hata mimi nilipo huku watu hawavai viatu Wala NdalaInategemea unaishi wapi ila huku nilipo hata ukitembea na jiko huku unapika hakuna tatizo
Tanga mnamshughulikia ipasavyo?Fafanua.Habari,
Inatia aibu na hasira kukuta mtoto wakiume yupo anatembea njiani anakula andazi, mara embe, mara ice cream, tena ukwaju analamba ukwaju bila aibu mbele ya wanaume wenzie, sio vizuri kwakweli. Kwetu Tanga kule tunakushughulikia ipasavyo.
Ni hilo tu.
Jamaa aliwahi.kuleta uzi kwamba ametaka kulawitiwa kwenye daladala😁 nimicheka sanaAcha kuishi kwa mitazamo yako
Jamaa aliwahi.kuleta uzi kwamba ametaka kulawitiwa kwenye daladala[emoji16] nimicheka sana
Nilikua na mitizamo kama hii until nilipofika Zanzibar ndio nikajua kila sehemu ina namna yake ya kuishiKweli Mkuu hata mimi nilipo huku watu hawavai viatu Wala Ndala
SureNilikua na mitizamo kama hii until nilipofika Zanzibar ndio nikajua kila sehemu ina namna yake ya kuishi
uliona nini Zanzibar?Nilikua na mitizamo kama hii until nilipofika Zanzibar ndio nikajua kila sehemu ina namna yake ya kuishi
Mtu kutembea peku, kula boflo, embe, mshikaki chungwa huku anatembea wala sio kesi na hamna mtu mwenye habari na wewe kila mtu anawaza maisha yakeuliona nini Zanzibar?
Mtu kutembea peku, kula boflo, embe, mshikaki chungwa huku anatembea wala sio kesi na hamna mtu mwenye habari na wewe kila mtu anawaza maisha yake
Huo ndio ustaarabu kutokana na mahali umetokea and widely accepted by many. Ingawa pia natambua kila jamii ina ustaarabu wake hata huko Zanzibar sio sehemu zote ipo hivyoKma umenunua njian basi tafuta sehemu ukae ukule vizuri