Tabia hizi hazifai kwa mtoto wa kiume

Tabia hizi hazifai kwa mtoto wa kiume

Habari,

Inatia aibu na hasira kukuta mtoto wakiume yupo anatembea njiani anakula andazi, mara embe, mara ice cream, tena ukwaju analamba ukwaju bila aibu mbele ya wanaume wenzie, sio vizuri kwakweli. Kwetu Tanga kule tunakushughulikia ipasavyo.

Ni hilo tu.
Tanga mnamshughulikia ipasavyo?Fafanua.
 
Mtu kutembea peku, kula boflo, embe, mshikaki chungwa huku anatembea wala sio kesi na hamna mtu mwenye habari na wewe kila mtu anawaza maisha yake

Kma umenunua njian basi tafuta sehemu ukae ukule vizuri
 
[emoji849]muda mwingine pirika nyingi unajikuta huna budi kula huku unatembea
 
Kma umenunua njian basi tafuta sehemu ukae ukule vizuri
Huo ndio ustaarabu kutokana na mahali umetokea and widely accepted by many. Ingawa pia natambua kila jamii ina ustaarabu wake hata huko Zanzibar sio sehemu zote ipo hivyo
 
Back
Top Bottom