Augustine Genius
JF-Expert Member
- Apr 14, 2016
- 1,216
- 1,486
Hata kama pesa ya kwako ndio unyonye ukwaju hadharani tena mbele za watu?ππPesa yake, mdomo wake halafu umpangie mtu nini na jinsi gani ya kula?
Sema hizo zote ni sifa za watu wa kanda ya ziwa ila sijasema ni wasukumaHabari,
Inatia aibu na hasira kukuta mtoto wakiume yupo anatembea njiani anakula andazi, mara embe, mara ice cream, tena ukwaju analamba ukwaju bila aibu mbele ya wanaume wenzie, sio vizuri kwakweli. Kwetu Tanga kule tunakushughulikia ipasavyo.
Ni hilo tu.
Tanga ipi mkuu? Hii hii ambayo imejaa mashoga kiasi kwamba sasa hivi lodge au guest hawaruhusu jinsia moja kulala?Habari,
Inatia aibu na hasira kukuta mtoto wakiume yupo anatembea njiani anakula andazi, mara embe, mara ice cream, tena ukwaju analamba ukwaju bila aibu mbele ya wanaume wenzie, sio vizuri kwakweli. Kwetu Tanga kule tunakushughulikia ipasavyo.
Ni hilo tu.
Tanga ipi mkuu? Hii hii ambayo imejaa mashoga kiasi kwamba sasa hivi lodge au guest hawaruhusu jinsia moja kulala?
Sema hizo zote ni sifa za watu wa kanda ya ziwa ila sijasema ni wasukuma
Wala sio issue yakuambiwa. Mwezi wa 6 na 7 nilikuwa kule. Tulifika night Mimi na jamaa yangu, lodge zote waligoma tusilale pamoja. Tanga uchoko umeshamili sanaHaa mkuu usisikilize maneno ya watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wala sio issue yakuambiwa. Mwezi wa 6 na 7 nilikuwa kule. Tulifika night Mimi na jamaa yangu, lodge zote waligoma tusilale pamoja. Tanga uchoko umeshamili sana
Sitoacha Kula Muhindi Wa Kuchoma Nikiwa Natembea Barabarani.
Chakula chochote portable nauwezo wa kula nikitembea na hamna mtu atanifanya kitu. Nimekuwa nikifanya hivo tangu nikiwa mdogo na haijabadili uanaume wangu.
as long as mtu hatumii mdomo wa mwingine, nini ukwaju hata akiamua kunyonya kidole chake hadharani hiyo ni shauri yake. Mbaya ni kama akitumia mdomo wa mtu mwingine.Hata kama pesa ya kwako ndio unyonye ukwaju hadharani tena mbele za watu?ππ
Kwa mwanamke sawa ila kama ni wa kiume huo ni ushangazias long as mtu hatumii mdomo wa mwingine, nini ukwaju hata akiamua kunyonya kidole chake hadharani hiyo ni shauri yake. Mbaya ni kama akitumia mdomo wa mtu mwingine.
Unataka wakale wapi ukwaju, wakati ukwaju wenyewe unauzwa barabarani,Kwa mwanamke sawa ila kama ni wa kiume huo ni ushangazi
Uzuri ni dunia huru mtazamo wako japo unaweza hisi ni sahihi kwako hauna athari yeyote kwa walimwengu wengine.Kwa mwanamke sawa ila kama ni wa kiume huo ni ushangazi