Tabia hizi hazifai kwa mtoto wa kiume

Tabia hizi hazifai kwa mtoto wa kiume

Habari,

Inatia aibu na hasira kukuta mtoto wakiume yupo anatembea njiani anakula andazi, mara embe, mara ice cream, tena ukwaju analamba ukwaju bila aibu mbele ya wanaume wenzie, sio vizuri kwakweli. Kwetu Tanga kule tunakushughulikia ipasavyo.

Ni hilo tu.
Sema hizo zote ni sifa za watu wa kanda ya ziwa ila sijasema ni wasukuma
 
Habari,

Inatia aibu na hasira kukuta mtoto wakiume yupo anatembea njiani anakula andazi, mara embe, mara ice cream, tena ukwaju analamba ukwaju bila aibu mbele ya wanaume wenzie, sio vizuri kwakweli. Kwetu Tanga kule tunakushughulikia ipasavyo.

Ni hilo tu.
Tanga ipi mkuu? Hii hii ambayo imejaa mashoga kiasi kwamba sasa hivi lodge au guest hawaruhusu jinsia moja kulala?
 
Haa mkuu usisikilize maneno ya watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chakula chochote portable nauwezo wa kula nikitembea na hamna mtu atanifanya kitu. Nimekuwa nikifanya hivo tangu nikiwa mdogo na haijabadili uanaume wangu.
 
Wala sio issue yakuambiwa. Mwezi wa 6 na 7 nilikuwa kule. Tulifika night Mimi na jamaa yangu, lodge zote waligoma tusilale pamoja. Tanga uchoko umeshamili sana
 
Inawezekana maana mm nimetoka uk nikiwa sijitambui kama jay
 
Chakula chochote portable nauwezo wa kula nikitembea na hamna mtu atanifanya kitu. Nimekuwa nikifanya hivo tangu nikiwa mdogo na haijabadili uanaume wangu.

Ungekuwa mtoto ningekuchapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo uposema kwetu Tanga ndo ukaharbu uzii.
Unahamasisha nn humu ndani.
 
Back
Top Bottom