Tabia kuitana majina mbadala tunapokosa fursa

Tabia kuitana majina mbadala tunapokosa fursa

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Tabia ya wanawake kuwaita wenzao Baby, mpenzi, sweetheart, Luv****

Waacheni wafarijiane.. waoaji ndiyo hawapo.
Sasa yale majina walikuwa wamepanga kuwaita waume zao yamekwama wafanyaje sasa[emoji2371][emoji2371][emoji2371]

******************** *******************
Ni kama sisi huku wasomi mitaani tumekuwa wengi halafu ajira empty.

Tunaanza kuitana >>
Boss, Afsa, Kamanda, Kiongozi, Mkuu, Jembe, Chief, Mkurugenzi nk.[emoji28][emoji28]


Wahenga walisema ukikosa ukipendacho basi penda ulichonacho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom