EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa umenena Kiongozi.Tabia ya wanawake kuwaita wenzao Baby, mpenzi, sweetheart****
Waacheni wafarijiane.. waoaji ndiyo hawapo.
Sasa yale majina walikuwa wamepanga kuwaita waume zao yamekwama wafanyaje sasa[emoji2371][emoji2371][emoji2371]
******************** *******************
Ni kama sisi huku wasomi mitaani tumekuwa wengi halafu ajira empty.
Tunaanza kuitana >>
Boss, Afsa, Kamanda, Kiongozi, Mkuu nk.[emoji28][emoji28]
Wahenga walisema ukikosa ukipendacho basi penda ulichonacho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
tajiri[emoji16][emoji16][emoji16]Tabia ya wanawake kuwaita wenzao Baby, mpenzi, sweetheart****
Waacheni wafarijiane.. waoaji ndiyo hawapo.
Sasa yale majina walikuwa wamepanga kuwaita waume zao yamekwama wafanyaje sasa[emoji2371][emoji2371][emoji2371]
******************** *******************
Ni kama sisi huku wasomi mitaani tumekuwa wengi halafu ajira empty.
Tunaanza kuitana >>
Boss, Afsa, Kamanda, Kiongozi, Mkuu nk.[emoji28][emoji28]
Wahenga walisema ukikosa ukipendacho basi penda ulichonacho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] nimehamia kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara nmekua msomaji tuu
Utasema bongo Hamna tatizo la ajira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app