Tabia mbaya na za kizamani za wanaume wa JF

Tabia mbaya na za kizamani za wanaume wa JF

Ungemaliza kwa kuwatag na hao unaowasema kuwa wanahizo sifa ulizo mention humo mbona kama unaogopa hv?
 
Jaman wazima humu
Hakuna sehemu wanaume wanajifanya wajuaji wakila aina ya kitu kama humu ndani

Ujuaji,majivuno yaani wanaume wa humu hakuna kitu kabisa kila aina ya kitu wanaijua wanawake wenye makalio wenyewe,weusi wenyewe,sijui nini wasichokijua

Kuwasema wanawake wenyewe,kujifanya wanamipesa wenyewe yaani tabu tupu nauhakika wengi madomo zege na masikini wavipato wachache sana wanakula milo mitatu

Hakuna wanaume humu wengi ni wahitimu wa vyuo wanasota kutafuta ajira kutwa masimango yasiyo na msingi kwa serikali umbea umbea tu umewajaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kimekuuma pasuka
Nilisahau kutwa kuwasimanga ma single mama yaani umasikini wamawazo mbona sijawahi kumuona mzee Asprin na Mshana Jr akitoa upuuzi upuuzi mkue humu tutakua tunawakimbia
Tukiwahoji huku mtaani tukisikia mnatumia jf

Sent using Jamii Forums mobile app
Umri utakuwa unakusumbua tu huna lolote, maisha ya watu yanakuhusu nini kwani umefungiwa jf lofOff ujizidiwa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisameeni wakuu

Ngoja niwaeleze ni hivi huyu Dada nilikuwa nachat nae humu tukaamia wasap akanirushia picha kweli alikuwa mkali


Tukapanga tuonane looh kikaja kituko kumbe sio yeye lakini nilijikaza tukala tukanywa tukaamia guest usiku nikamkimbia sikumpa kitu maana kwa nini anidanganye

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂umenitengua mbavu
 
Back
Top Bottom