Tabia mbaya na za kizamani za wanaume wa JF

Tabia mbaya na za kizamani za wanaume wa JF

Kuna majina ukijiita una attract attention fulani, mfano wewe nilivyoona jina hilo nikacheki profile niliona kabisa uko mule mule.

Sasa kuna baadhi ya Miss ..., Cute nini sijui, na mengine mazuri mazuri, ukisema uingie field unakuta vitu tofauti.

Anyway, ndo JF

Don Cle hizo IDs si halisia ila naamini kuna zinazoreflect uhalisia wa mtu, mfano hizo zenye majina mazuri mazuri,inawezakua kweli ni wazuri kama I'd zao ujue hautaamini.

Mi I'd yangu ngumu sijui nakumbuka mwanzo nilikua naulizwa we ni "ke or me" [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Fantasy tu.

Tunajiita majina mazuri ili angalau kujipa faraja.

Kwamba mtaani tupigike hadi humu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji30]
Hivi kumbe ndio huyu?loh!masikini nilishasahau ile ID

Ile siku aliniita kenge nilikuwa na bad mood nikamjibu [emoji867][emoji867] eti

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom