Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Mimi nimekuelewa, back then nilikuwa naweza kuwa na utani wa kuitana majina ya kenge, mbwa, fisi nk nk nk.
Siku hizi nikiona watu wanaitana au kutaniana hivyo naona wa ajabu, hapo ndiyo naona kwamba uzee umeshanianza.
Kwa hiyo najikuta tu kuepukana na hizo adha natupa kwenye ignore list.
Huwezi amini list yangu imejaa watu ambao hata wengine sikumbuki kwa nini niliwatupia huko.
Uzee?hahahah kwani una miaka mingapi Don Clericuzio ?
Nitakufundisha urudi kama zamani.....taking some things easy