Tabia mbaya na za kizamani za wanaume wa JF

Jaman wazima humu
Hakuna sehemu wanaume wanajifanya wajuaji wakila aina ya kitu kama humu ndani

Ujuaji,majivuno yaani wanaume wa humu hakuna kitu kabisa kila aina ya kitu wanaijua wanawake wenye makalio wenyewe,weusi wenyewe,sijui nini wasichokijua

Kuwasema wanawake wenyewe,kujifanya wanamipesa wenyewe yaani tabu tupu nauhakika wengi madomo zege na masikini wavipato wachache sana wanakula milo mitatu

Hakuna wanaume humu wengi ni wahitimu wa vyuo wanasota kutafuta ajira kutwa masimango yasiyo na msingi kwa serikali umbea umbea tu umewajaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kimekuuma pasuka
Nilisahau kutwa kuwasimanga ma single mama yaani umasikini wamawazo mbona sijawahi kumuona mzee Asprin na Mshana Jr akitoa upuuzi upuuzi mkue humu tutakua tunawakimbia
Tukiwahoji huku mtaani tukisikia mnatumia jf

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaaaaa ujumbe umefika muungwana, yote heri.
UMASIKINI NI NUSU YA UKAFIRI
 
Unampa sifa asizostahili, ungemweka kwenye karantini ya ignore ukaachana naye.

Huyu kweli sikuwahi kuona kanitukana kama alivyosema kwenye huu uzi....sikumbuki

Ansante sana baba @mshana jr - JamiiForums

Hata hivyo mtu kunitukana humu huwa sio sababu ya kumpeleka karantini ya ignore,mara nyingi siboreki na mtu anayenitukana....naboreka na the way mtu anaact hadi nikaboreka(sijui hata kama nimeeleweka)
 
Nimekuelewa, ila sijakuelewa pia.

Nafikiri ili kujipunguzia adha acha mimi nimu-ignore.

Nyie mtajuana.
 
Duuh wamekufanya nini dada mpaka unamwaga povu hivi?
Unaweza kuona mtu domo zege kumbe wewe ndio huna mvuto..[emoji2]
[emoji3][emoji3]kumbe ukiwa huna mvuto, unafanya mwingine awe domo zege, aah ndyo maana huku mtaani naona wote madomo zege tu,kumbe sababu ni mimi mwenyewe [emoji3][emoji3] thank you I learned somesingii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa, ila sijakuelewa pia.

Nafikiri ili kujipunguzia adha acha mimi nimu-ignore.

Nyie mtajuana.

Mfano unakumbuka yule niliyekua nakuelezea?yule hajawahi kunitukana sehemu yoyote,ni the way anaact huku jukwaani.....anakera,anaboa imenipelekea tu kumuweka kwenye ignore list...kama hivyo
 
[emoji3][emoji3]kumbe ukiwa huna mvuto, unafanya mwingine awe domo zege, aah ndyo maana huku mtaani naona wote madomo zege tu,kumbe sababu ni mimi mwenyewe [emoji3][emoji3] thank you I learned somesingii.

Sent using Jamii Forums mobile app

Point ya troublemaker hapo ni kwamba unaweza kuona kwamba wanashindwa kukutongoza ukadhani ni madomo zege.

Kumbe hujawavutia walengwa.
 
Wanawake wanamitego, wanaume tuna mbinu. Enjoy the show!

Boss umeadimika sana. JF iko vile vile watu ndio wanabadilika, hapo ni kuamua mhusika anaitumiaje.

Kwa sasa tufuate maelelezo ya usafi kupunguza maambukizi ya covid-19.
 
Mfano unakumbuka yule niliyekua nakuelezea?yule hajawahi kunitukana sehemu yoyote,ni the way anaact huku jukwaani.....anakera,anaboa imenipelekea tu kumuweka kwenye ignore list...kama hivyo

Mimi nimekuelewa, back then nilikuwa naweza kuwa na utani wa kuitana majina ya kenge, mbwa, fisi nk nk nk.

Siku hizi nikiona watu wanaitana au kutaniana hivyo naona wa ajabu, hapo ndiyo naona kwamba uzee umeshanianza.

Kwa hiyo najikuta tu kuepukana na hizo adha natupa kwenye ignore list.

Huwezi amini list yangu imejaa watu ambao hata wengine sikumbuki kwa nini niliwatupia huko.
 
Jaman wazima humu
Hakuna sehemu wanaume wanajifanya wajuaji wakila aina ya kitu kama humu ndani

Ujuaji,majivuno yaani wanaume wa humu hakuna kitu kabisa kila aina ya kitu wanaijua wanawake wenye makalio wenyewe,weusi wenyewe,sijui nini wasichokijua

Kuwasema wanawake wenyewe,kujifanya wanamipesa wenyewe yaani tabu tupu nauhakika wengi madomo zege na masikini wavipato wachache sana wanakula milo mitatu

Hakuna wanaume humu wengi ni wahitimu wa vyuo wanasota kutafuta ajira kutwa masimango yasiyo na msingi kwa serikali umbea umbea tu umewajaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kimekuuma pasuka
Nilisahau kutwa kuwasimanga ma single mama yaani umasikini wamawazo mbona sijawahi kumuona mzee Asprin na Mshana Jr akitoa upuuzi upuuzi mkue humu tutakua tunawakimbia
Tukiwahoji huku mtaani tukisikia mnatumia jf

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ulikuja humu kutafuta mume? Umepoteza majira wewe!!

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Back
Top Bottom