Tabia mbovu

Tabia mbovu

Like Me asubuhi nimekula Biscuits zenye cream na Kahawa, Mchana Wali na Samaki na hapa nakunywa Azam Eneji na usiku sijui hata nakula nini 😂 😂 😂 😂
Chochote kinaenda tu kaka tumbo halina kioo maana tunavokula miguu ya kuku ingekuwa hatari 😀😀😀
 
Chochote kinaenda tu kaka tumbo halina kioo maana tunavokula miguu ya kuku ingekuwa hatari 😀😀😀
Aisee hiyo Mimi imenishinda kabisa na yale mapupu, bora hata nile Mkate na maji tu 😂 😂 😂
 
Ndo siku zake hiz za kutamba ikipita sikukuu mpira unarudi Kwa amapiano 😂😂😂
😂😂😂😂
Hakika yaani sasa hivi kumepoa sana Chama langu pendwa Liverpool FC nimelimisi. #YNWA
Acha nimsikilize Maher Zain tu.
 
Aisee humu bana kuna watu wanagombana kabisa wananuniana...wanasengenyana kabisa yani mnuno kabisa...nilishangaa..any way JF ni kijiji kina kila aina ya mambo...kuna mitaa ya uswazi na ushuani 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Mbona sasa na wewe unatuandikia humu ni kwa faida ya nani??
 
Hi
Tabia mbovu mtu unaona watu wanacheka vizuri kisa wewe mlipishana kauli una amua kwenda kupandikiza chuki achukiwe sawa atachukiwa baada ya hapo? Acha kwenda pm kwa watu kuongea umbea ili achukiwe mambo kama hayakuhusu achana nayo kabisa
Dah pole zao ndio zao
 
Aisee humu bana kuna watu wanagombana kabisa wananuniana...wanasengenyana kabisa yani mnuno kabisa...nilishangaa..any way JF ni kijiji kina kila aina ya mambo...kuna mitaa ya uswazi na ushuani 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Dah🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom