Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe na wewe mwanaume .......MBNA mipasho sasaTatizo wanaume wa dar huwezi kuwatofautisha na dada zao majungu kazi hamna kula kwenyewe chipsi kupaka powder na kujikoboa kama sembe kucha wanapaka hina sasa hao wanaume au ndo kama nay wa mitego alivyosema ni makaka poa ila msiniporomoshee matusi wanaume tuko mwanza
Wanaume wa dar wanapenda kuteleza balaaWanaume wa Dar
-wanakatwa kucha na wauza urembo
-wanapaka shine kwenye kucha
-wanatumia lotion ma scrub
-wanatumia manukato na marashi ya kike
-wanaenda taarab
Wanatinda nyusi
-wanakunywa redds na st. Anne
-wanajipodoa
-wanavaa hereni
-wanasutana
-wana.........[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
hahahahhahahDar. bao moja tu hoiiii!
Hhhhhhh mikoanihahaha na wa mwanza wanakimbilia soda...huo ni utani tu kila mkoa kuna wanaume wapo kama wa dar na dar kuna wanaume wapo kama wa mikoani
Mimi nipo Dar ndio mana nasema hivyoDonatila, ww ni wapi hadi ione wanaume wa Dar wanajua kupiga pamba?!
Wewe ni mwanamke au mwanaume?Hi,
Kubali ukatae ila wanaume wa Dar wako smart sana, wanajua kuvaa vizuri, wanaenda na fashion.
Katika pita pita mitaa kwa mitaa niliyopita wanaume wengi wanatupia pamba kali.
Sasa waliopo maofisini ndio usiseme yani wanatokelezea sana.Hakika wanaume wa Dar mnajua kutupia.
Hongereni wanaume wa Dar