Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Wanaume wa dar ni wasomi bana wanatumia muda wao ipasavyo kuchambua mambo mbalimbali kwa kina kama ishu za kina mondi na wengineo sio.nyie wa bara kutwa maporini na kuishia kwenye vijumba vya udongo na shule kukimbia maana zimewashinda
 
kumbe na wewe mwanaume .......MBNA mipasho sasa
 
Wanaume wa dar wanapenda kuteleza balaa
 
Nyie wa Mikoani si ndo mnalalamika wake zenu/watoto na ndugu wakija Dar wanarud na Mimba,kama si mimba basi wanawadharau,nyie mnajua tunachowapa au ndo wivu tu
 
Hi,

Kubali ukatae ila wanaume wa Dar wako smart sana, wanajua kuvaa vizuri, wanaenda na fashion.

Katika pita pita mitaa kwa mitaa niliyopita wanaume wengi wanatupia pamba kali.

Sasa waliopo maofisini ndio usiseme yani wanatokelezea sana.Hakika wanaume wa Dar mnajua kutupia.

Hongereni wanaume wa Dar
 
Sasa kuna faida gani unapiga pamba kali halafu kitandani hamna kitu.
 
Wewe ni mwanamke au mwanaume?
Aisee kuna thread ya kipindupindu cha tanga kule..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…