Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

yupo kawaida tu, sema kalelewa kwa kudekezwa sana, bado anaishi kwa wazazi
Aiseeee, miaka 32 bado yuko kwa wazazi! ndo maana nikasema ana matatizo ya akili, si matakwa yake
 
Mnaosema mikoani msijumuishe na utaje mkoa unaotekea. Maana mnaonesha mlivyo dhaifu kwa kuungana na kuishambulia Dar...
 
Mi napiga sekunde 10 kama jogoo maana kuna joto sana hapa dar,alaf nakaa chumba kimoja na watoto waili wa sekondari,wataskia mama yao akilalama kwa utamu
 
Yaani kila thread ninayofungua na kusoma lazima nikutane na hii sentensi.WANAUME WA DAR.
Kama siyo kwenye topic basi kwenye comment.
Wanaume wa Dar ndiyo habari ya huko mikoani na vijijini kwa sasa.
 
Ndiyo maana ndugu yangu Jana kaenda Tanga kuna kademu kameshoboka.Endeleeni kutupa promo nyie wa mikoani.
 
unaposema wanaume wa dar unamaanisha nini hasa, wanaume waliopo dar currently au wanaume waliozaliwa dar?
 
Alafu mi naona kama wanaona wivu coz sababu wanazotoa ndo Dada zao wanazipenda........mi nahs kunakawivu fulan kinawatwala.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…