Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Wanafikiri huku kila mtu ana shamba,huku ni kupiga michongo ya pesa mwanzo mwisho,ukikuta shoga ujue huyo kaona maghorofa ya katikati ya jiji kupitia bongo movies akaamua kuja kutoka kijijini ili asafishe macho ndo akaishia kua shoga. Maana huku MWANAUME PESA
Mikoani kuna wanaume maskini sana hadi huruma, wanakosa hata mia ya wembe wa kunyoa ndevu. Bora arusha kidoooogo kuna uafadhali
 
Ndo maana nimecheka sana, kwani kiukweli haina mwenyewe, wenyeji halisi ni wazaramo kama tujuavyo na hawa kwa sasa wamehamishwa hawapo tena dar.
Wanaume wa dar kwa sasa ndo wachaga, wasukuma,wahehe,wahaya, wagogo, wanyakyusa,wamasai,wanyaturu, wamakonde nk. Kibaya zaidi wa mikoani wanapaona dar kama ulaya vile japo kiukweli ni jiji tu la ovyo, so mimi naona ni kamsemo kalicho vuma kwa wakati wake kuwafunga midomo wajuaji
ni kama vile kusema mambo ya Dar waachie wana Dar wenyewe
 
wanaume wa dar wanakojoa kwenye makopo ya maji wanaogopa kutoka nje kisa panya road duh
hii ni kweli nilipokua kikazi Dar, nimeishuhudia kesi kwa kijana flani anashutumiwa kukojoa kwenye makopo usiku na kuyatupa kwa majirani!!
WANAUME WA DAR BANA.....
 
ni kama vile kusema mambo ya Dar waachie wana Dar wenyewe
Kuna kamsemo kanasema kama hujafika dar wewe bado mshamba...sijui kama kana ukweli, msemo mwingine...ukiishi dar ni zaidi ya chuo utaishi popote tz...nahisi kana ukweli haka
 
hii ni kweli nilipokua kikazi Dar, nimeishuhudia kesi kwa kijana flani anashutumiwa kukojoa kwenye makopo usiku na kuyatupa kwa majirani!!
WANAUME WA DAR BANA.....
kumbe kijana flani. nikajua ni mwanaume
 
Kuna kamsemo kanasema kama hujafika dar wewe bado mshamba...sijui kama kana ukweli, msemo mwingine...ukiishi dar ni zaidi ya chuo utaishi popote tz...nahisi kana ukweli haka
huo ndo ukweli wenyewe. wawe wanakuja tu kutalii japo kwa wiki moja
 
wengine wamo humu hata ukiwaita kufanya kazi ya u house boy au ulinzi watamiminika wengi tu na ndevu zao.
Kama una mke kaka Naomba nije Kuwa houseboy huko kwenu, NIKUSAIDIE KAZI. mkeo ataipenda tu kazi yangu.
 
ok, nita ku PM nikupe namba zangu za simu. nitakupa kazi ya kulinda duka, mke wangu hahitaji houseboy, kazi za kiume nyumbani zote nazifanya mimi
 
Mikoani kuna wanaume maskini sana hadi huruma, wanakosa hata mia ya wembe wa kunyoa ndevu. Bora arusha kidoooogo kuna uafadhali
Lkn cha ajabu wanakula na kuoga wanaoga,ngoja waje Dar sasa, huku kila kitu pesa tu, hakuna kujuana, ni kutafuta pesa tu, ukija huku kama huna pesa japo ya kukusaidia msosi utajikuta unakuwa bwabwa, maana si umezoea mteremko wa kijijini, maana kijijini unaweza kuamka huna hata jero lakini bado una uhakika wa kula,njoo Dar sasa uone Wanaume tunavyoishi. Afu kuhusu swala la kupiga kimoja,sio kama kupiga 6 hatuwezi....hapana...tunaweza sana sema pale mtu unakuwa unapunguza mzuka tu,lakini mda mwingi akili yako inawaza kutafuta pesa ndo maana ukiona mtu kakimbilia bush kaja kujiuliza kwanza alipokosea,maana huku kila kitu PESA watu tunatumia PESA kama huwezi baki huko huko maana ukija huku utaishia kuuza tiGO
 
Weka Namba hapa nichukue ujiko dadadeeki. Mnawatesa watoto wa watu, nao wameumbwa wafaidi kugegeduliwa nyie mnaishia kuwachezea chezea tu. Antena zao mda wote zina vibrate kwakua havikunwi. Nyie vp nyie!! Subirini msiposhughilikia hilo mtakuja kushughulikiwa
 
Lkn cha ajabu wanakula na kuoga wanaoga,ngoja waje Dar sasa, huku kila kitu pesa tu, hakuna kujuana, ni kutafuta pesa tu, ukija huku kama huna pesa japo ya kukusaidia msosi utajikuta unakuwa bwabwa, maana si umezoea mteremko wa kijijini, maana kijijini unaweza kuamka huna hata jero lakini bado una uhakika wa kula,njoo Dar sasa uone Wanaume tunavyoishi. Afu kuhusu swala la kupiga kimoja,sio kama kupiga 6 hatuwezi....hapana...tunaweza sana sema pale mtu unakuwa unapunguza mzuka tu,lakini mda mwingi akili yako inawaza kutafuta pesa ndo maana ukiona mtu kakimbilia bush kaja kujiuliza kwanza alipokosea,maana huku kila kitu PESA watu tunatumia PESA kama huwezi baki huko huko maana ukija huku utaishia kuuza tiGO
ha ha haaa umenena vema mkuu. Dar bila akili ya kutafuta pesa unashika ukuta tu
 
Back
Top Bottom