Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Hivi hata sisi ambao tumekua huko mikoani lakini kwa sasa tupo hapa dar ni wanaume wa dar?
 
WANAUME WA DAR hakika ni kichekesho na ni aibu saana. Ati ni wauza sura, watinda nyusi, wa kigodoro, chips yai nimeshiba, mwizi akivunja nyumba unaanza kulia na kuwaacha watoto wakijipigania, wanakimbizwa na panya road 20 kitaa chote, hupenda kulelewa na wanawake, kutamaniana wanaume kwa wanaume, hupenda magari ya kuazima n. K. Badilikeni Bhana.
 
wanaume wa dar wanakojoa kwenye makopo ya maji wanaogopa kutoka nje kisa panya road duh
wewe umezaliwa tandahimba hujawahi hata safiri utajuaje mambo ya dar? au ushabiki tu. Nyangema karibu sana dar
 
Back
Top Bottom