Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
Watu limie sie tule wakipata baa la njaa wanaume tupo tutawahonga kwa misaadaMtuache jamani.Kila siku wanaume wa Dar,wanaume wa Dar.Fanyeni yenu wakulima nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu limie sie tule wakipata baa la njaa wanaume tupo tutawahonga kwa misaadaMtuache jamani.Kila siku wanaume wa Dar,wanaume wa Dar.Fanyeni yenu wakulima nyie
Da! Hii fedheh kubwa sanaChips mayai mmeacha?? Maana wanaume wa Dar husifika kwa chakula hicho
unatafuta mwanaume wa dar ? pole sanaWanaume wa darisalama..ni hawaume wote wanaoishi dar hata waliohamia? Au Waliozaliwa dar? Au ni wenye kabila la watu kutoka dar?
Na je mbona wanasakamwa sana humu jf?
Nataka kumfahamu kwanza. Wasifu na tabia zakeunatafuta mwanaume wa dar ? pole sana
kuwaulizia tu tayari wamejificha uvunguni wasionekane humu. unadhani watajitokeza?Nataka kumfahamu kwanza. Wasifu na tabia zake
Ushamshkisha baba ako kwanza???
Wanatajwa sana mbona?hahahaaaaaa huwezi wapata mkuu, tupo wa mikoani tu
we watafute kitaa utawaona, wengi vishkizo vya mashati wanafunga hadi cha juu kwenye koo,Wanatajwa sana mbona?