longi mapexa
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,265
- 4,250
hahahahaha noma sana!....Walaa hujakosea mrembo naomba mzigo huo mtoto mzuri
yaani hata mimi mwenyewe nimeshangaa! au alidhani kasha log in kwa account nyingine......
Teh wanashida hawa wanaume wa darWanaume wa dar bhana... hapo upo kwenye urojo bila shaka
Umepna eeehAlafu mi naona kama wanaona wivu coz sababu wanazotoa ndo Dada zao wanazipenda........mi nahs kunakawivu fulan kinawatwala.....
Wana mapembe?Wanaume wa Dar wako tofauti kidogo.
Mana haiwezekan mikoa yote wanashambulia Dar.......kunaki2 kimejficha nyuma ya paziaUmepna eeeh
Naona mtoto amejileta mwenyewe...ha ha haaaaWalaa hujakosea mrembo naomba mzigo huo mtoto mzuri
huko ndio wapi??Yaani kila thread ninayofungua na kusoma lazima nikutane na hii sentensi.WANAUME WA DAR.
Kama siyo kwenye topic basi kwenye comment.
Wanaume wa Dar ndiyo habari ya huko mikoani na vijijini kwa sasa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] !!!Walaa hujakosea mrembo naomba mzigo huo mtoto mzuri
Si unaona hata alichoandika kimelegea legea. Hovyo kweli.Teh wanashida hawa wanaume wa dar
Wamelegea mpaka visivyopaswa kulegeaSi unaona hata alichoandika kimelegea legea. Hovyo kweli.
Naona mtoto amejileta mwenyewe...ha ha haaaa
Wamelegea mpaka visivyopaswa kulegea
Teh wewe bado toto dogo usisikilize ya wakubwaNdio vipi hivyo tena