Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

mwanzo nikadhani wanawaonea hawa wanaume wa dar kumbe ni kweli
 
Huu wimbo hauna verse?..Naona chorus tu inajirudia
 
Yaani kila thread ninayofungua na kusoma lazima nikutane na hii sentensi.WANAUME WA DAR.
Kama siyo kwenye topic basi kwenye comment.
Wanaume wa Dar ndiyo habari ya huko mikoani na vijijini kwa sasa.
huko ndio wapi??

au kigamboni??
 
Unajidhalilisha na hilo jina ulojipa mana kwa wakwe zangu Songea hakuna wajinga kama wewe..Useless
 
Back
Top Bottom