umeandika nini sasa. baki huko huko kakonko ya dar huyaweziWanaume wa dar wakiona mende kwenye kabati wanapiga yowe wa mikoani wakion nyoka na simba wanapambana nao
Wanaume wa dar wanajipaka poda na kutoboa pua wanaume wa mkoani wanatafuta pesa
Wanaume wa dar wengi wanapenda slope wanaume wa mkoani hawapendi slope
ONGEZA NYINGINE
Hivi panya road ni wavulana wa Dsm au wa mikoani?Wanaume wa Dar wanalizwa na Panya road.
Baki tu huko huko mkuu,huku inahitajika akili nyingi competition kubwa.Wewe nae ni mwanaume Wa dar au mwanamke Wa dar maana hizo sifa umezijua wewe kama ni mwanaume Wa dar bora niendelee kulima dar sirudi tena
Kuna kitu hujakielewa, hapa naona ni msuguano kati ya Hapa kazi tu vs Maisha bora kwa kila MtanzaniaHuu mpambano wa wanaume wa dar na wa mikoani ni ujinga mtupu