Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba tuheshimiane! japo kidogo!Hawajui mapenzi
lawama zote kwa mulugo na kawambwaHivi vithread vimekua vingi hadi vinachefua.
Utawajua tu.Wanaume wa dar sasa mi nashindwa kuelewa hii semi unakuta hata lidume nalo linaandika wanaume wa dar hawajui mapenzi nyooo endeleeni tu kuiga iga km domo.
WanaumE wA daR
- Wananyang'anyana mikorogo, nguo na wake/dada zao
- Foleni za chips wako na wake/dada zao na wao wanataka
- Wanatengeneza kucha pamoja na kusuguliwa miguu na wavaaji wa heleni
- Wanavalia nguo makalioni
- Waoga kuliko dada/madem zao wanakimbizwa na panya road
- Kujisifia kwa sura na urembo
- Kupanga foleni ya kusuka saluni za wadada