Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Jumapili naenda kwetu. Sirudi Dar mpaka hili sakata la "wanaume wa Dar" lipite. Manake.... This is too much, and too much is harmful.



Invisible . Funga hii thread. Au wewe sio mwanaume wa dar?
 
Wanaume wa dar sasa mi nashindwa kuelewa hii semi unakuta hata lidume nalo linaandika wanaume wa dar hawajui mapenzi nyooo endeleeni tu kuiga iga km domo.
 
Wanaume wa dar sasa mi nashindwa kuelewa hii semi unakuta hata lidume nalo linaandika wanaume wa dar hawajui mapenzi nyooo endeleeni tu kuiga iga km domo.
Utawajua tu.
 
wanakimbizwa na vivulana vya panya road mpaka wanaacha wake zao na watoto
 
Hii phrase(wanaume wa Dar) Inasemekana kuwa ni kisasi dhidi ya wanaume wa Dar baada ya kuwakejeli sana wale wa kanda ya ziwa kuwa ni washamba. Hivyo likAibuka kundi ambalo wameona ni vizuri kulipiza kisasi: ndo wakaja na hii Concept ya "Wanaume wa Dar"
 
katika uchunguzi wangu nimegundua kuwa wanawake wanaongoza kwa kulalamika baada ya tendo la ndoa

NANUKUU
1. wanaume wa Dar wanaudhi sana, wanapiga dakika 5 eti wamechoka
2. wanakula sana chips
3.wavivu kitandani
3. wengi wao wana vibamia
**MWISHO WA KUNUKUU ***

Mbona nyie hamtoi yenu kazi kusema ya mwenzenu

1. kama wewe mwanamke hutoi ushikiriano kwa bed unahisi ni mwanaume gani atapiga show kwa dakika 15-30.

2..mkiwa kitandani ni kama magogo hamna kazi zaidi ya kujiliza kinafiki.

3. nyie mnaongoza kuwa wavivu kitandani

4. mnajua style moja 1 ya baba na mama

Acheni izo
 
  1. Wananyang'anyana mikorogo, nguo na wake/dada zao
  2. Foleni za chips wako na wake/dada zao na wao wanataka
  3. Wanatengeneza kucha pamoja na kusuguliwa miguu na wavaaji wa heleni
  4. Wanavalia nguo makalioni
  5. Waoga kuliko dada/madem zao wanakimbizwa na panya road
  6. Kujisifia kwa sura na urembo
  7. Kupanga foleni ya kusuka saluni za wadada
 
  1. Wananyang'anyana mikorogo, nguo na wake/dada zao
  2. Foleni za chips wako na wake/dada zao na wao wanataka
  3. Wanatengeneza kucha pamoja na kusuguliwa miguu na wavaaji wa heleni
  4. Wanavalia nguo makalioni
  5. Waoga kuliko dada/madem zao wanakimbizwa na panya road
  6. Kujisifia kwa sura na urembo
  7. Kupanga foleni ya kusuka saluni za wadada
WanaumE wA daR
 
sasa kama mtu anaweza kusema hadharani mke wake anajambajamba hovyo hii si ajabu kabisa kabisa kwa wanaume wasoishi dar
 
1.Wanaume wa Dar wako very sexy and romantic, wa mikoani wako very rude, hajakuandaa anataka akuchomeke, ukimwambia sijawa tayari bado, unaambulia vibao na kubakwa juu.

2. Wanaume wa Dar ni wa kisasa, wanajua simu mpya na OS zake, wanajua apps nzuri na namna ya kuzitumia. Wa mikoani wakitaka kununua simu, wanajua neno moja tu Tekno tachi sikikini.

3. Wanaume wa Dsm wanajua gender issues. Ukiwa unaumwa atakwambia usijihangaishe na kupika, kufua etc. Ataleta chakula kutoka huko nje, nguo atapeleka dry cleaner na nyumba atasafisha, wa mkoani atakuamsha na kukuambia hela hiyo mezano, nikirudi nikute nyumba safi na msosi wangu wa udaga uko tayari.

4. Wanaume wa Dsm kusoma ndio mpango mzima, evening classes zinafurika. Watu wanasoma post graduate diplomas, masters na PhD zao, mikoani kusoma unasoma ili iweje. Kazi na kijimradi chako vinakutosheleza

5. Wanaume wa Dsm wana confidence. Mtu anakutongoza huku akikuangalia usoni, anakupa makavu kuwa usitarajie makubwa kutoka kwangu, sina pesa sina kazi, kidogo cha halali nipatacho ndicho chetu. Wa mikoani hatongozi hadi apate hela, hana confidence ya kukufuata akiwa kachacha.

Mengine hebu ongezeni wenyewe.
 
Wewe nae ni mwanaume Wa dar au mwanamke Wa dar maana hizo sifa umezijua wewe kama ni mwanaume Wa dar bora niendelee kulima dar sirudi tena
 
Back
Top Bottom