[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Alafu wana tabia ya kutoka mapovu wanapoambiwa ukweli wasioutaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Alafu wana tabia ya kutoka mapovu wanapoambiwa ukweli wasioutaka.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Suala la kupanda bajaji kutoka posta-kkoo inategemea uharaka wa mishe na pia hali ya hewa! Sa we una buku na mishe ni ya haraka ukomae juani weeee kisa uonekane wa mkoani?? Huo ni wendawazimu
19. Wanaume wa darisalama wana afya mbovu sababu ya vyakula wanavyokula. Unakuta dume zima linashusha chips na mishkaki miwili na pepsi au soseji mbili na ndizi hadi unashangaa huyu kweli mwanaume rijali au ndo wale mapunga??
Hili ni tatizo lingine, mnaona kawaida kuoa wanaume wenzenu.Bora umeondoka,unatumalizia hewa.Nenda kalime,hapa mjini shamba letu ni pesa.Watu kama nyie huwa wanolewa hapa mjini
Kwa nini nyie wa Dar mnaniuliza haya maswali ya kipumbavu? Hivi huko Dar ina maana sodomy mnaona ni kitu cha kawaida? Nashangaa mmeshikia bango muingiliano wa mwanaume na mwanaume, kama hiyo nayo ni sifa yenu basi hongereni. Si ajabu mnatinda na nyusi ma kufanyiwa manicure na pedicure.Hujaombwa tako kweli, mbona hujaorodhesha hiyo
Nimethibitisha kitu kingine kuwa mnadinyanya huko, maana kila mwanaume wa Dar lazima aandike hivyo, sio sifa ya mwanaume hiyo, eidha mfanyaji au mfanywaji, mna mapungufu makubwa ya kuwa wanaume kamili.Matatizo yakuja mjini alaf umefikia kwa shemeji au ndugu " utaona mapungufu tu hamna cha zaidi
"Wanaume wa dar ndio wanaendesha nchi"
Angalia utashkishwa ukuta watu wahuku sio wazur.
Kama unaona ni uongo basi usitoke povu, kaa kando.Ukweli UPI?
Ni kweli kabisa, pia huwa nashangaa unakuta jamaa lina mwili mkubwa asubuhi anakwambia ana njaa alafu anaenda kunywa kakikombe ka kahawa kadogooooo kamoja na vikashata viwili kisha anasema kashiba, wanaume wa dar wana matatizo.Umesahau kitu kimoja,chakula chao kikubwa ni chips.Wakati sisi wa mikoani tunakula ugali kila siku
Vijana wa dar waswahili ukipita na cm nzuri usiku wanakuvizia wakuibie wanapenda sana kula bata lkn wengiwao pesa hawana pili kuna mashoga kibao
Sawa, ila msinielewe vibaya ndo maana nimesema 90% ya wanaume wa Dar, maana yake kuna 10% wako sawa.Natoka saa 11 alfajiri narudi saa 11 ya jioni mkitukuta kwenye vijiwe, mida ya jioni tushatoka kutafuta maisha pale tunadilisha habari, na kupeana uzoefu wa mjini.
Dar wanaume wengi wanaishi maisha ya kuigiza.Hao uliowaona mashoga wametoka uko uliko,baada ya kushindwa utafutaji wakawa ombaomba na mwisho wa siku wakaamua kutoa nyago ili waendelee kuwepo Town.Mnabwabwaja nini wakati wabunge wenu wote wapo hapa Dar,hata Dada zenu wanatamani kutupata sisi watu wa Town.Unalima unakula na kunya kwa pesa toka Jiji la Ukawa.
Dar wanaume wengi wanaishi maisha ya kuigiza.
Unajua wewe ni chizi fresh, hujitambuiKama unaona ni uongo basi usitoke povu, kaa kando.
Point zako ni za msingi na zinaelewewka japo sio zote, mfano hiyo ya makaka poa na hiyo ya kuvamiwa, sio kia mazowezo lazima ukabebe chuma au mizigo mizito kama tuko vitani bali ugomvi ni akili ya kujua kupambana na mtu, Mengine hayanihusu na wala hayajanigusa hata kidogo ingawa na mimi ni mkazi wa dar. Ngoja wenye mji wao waje wakueleze vizuriHabari za mchana mabibi na mabwana. Nina uhakika leo wengi mpo nyumbani au mmeenda matembezini kujinafasi na hii sikukuu ya Pasaka. Wengine pia mpo kazini mkipiga kazi.
Sio lengo langu kuongea kuhusu watu hasa wanaume, na sisi vijana wa shoka ambao ni wa "mkoani" kama tunavyoitwa na wana Dar slum SIO HULKA YETU ila kwa sababu ni wanaume wa hapa Tanzania, tunaguswa na kushangazwa na mienendo ya wanaume wa Dar slum.
Baada ya kuwepo Dar Slum kwa muda wa mwezi mmoja nikifuatilia dili langu fulani, hatimaye nilifanikiwa na kurudi mkoani.
Ila ukweli ni kwamba nimeshangazwa sana na wanaume wa Dar. Asilimia 90% wana haya yafuatayo ambayo kwa mwanaume wa kawaida rijari kama sie wa mikoani huwezi tukuta na hizi tabia;
Wanaume wa Dar Slum:
1. Wanawake wao wanalalamika hawawaridhishi kitandani,
2. Wengi wanalia lia tu kila wanapoombwa hela na wapenzi wao, eti wanataka usawa,
3. Wengine wamewekwa ndani na wanawake, yaani wanalelewa.
4. Wana vitambi, yaani unakuta kijana mdogo kabisa na ni mwembamba ila kitambi hicho,
5. Wanatinda nyusi,
6. Nao wanaoshwa kucha za miguuni na wanaume wenzao.
7. Wanalia lia hamna kazi ila wanachagua kazi za kufanya,
8. Unakuta jibaba zima liko juu ya miaka 25 ila linakaa kwa baba na mama au bado ni tegemezi,
9. Wako dhaifu sana, hawana tabia ya kufanya mazoezi ya kuimarisha afya, wakivamiwa makwao ni full kukimbia kuomba misaada kwa majirani ambao nao ni wanaume wale wale, kitu ambacho sisi wanaume wa mikoani kama kuna ishu ya mabavu na busara huwa tunaimaliza kishujaa,
10. Wanaogopa kuja MIKOANI ambako ndo kuna hela,
11. Makaka poa wapo kila kona na wanaume wengine wanaona eti ni kawaida kuwa Mungu aliwaumba hivyo,
12. Wavivu, unakuta yupo ktk basi na kuna foleni yeye anaenda sehemu ambayo ni kama mita 300 toka liliposimama basi ktk foleni ila yuko tayari asubiri hata dk 50 ndani ya basi.
13. Wanaume Wenye magari wanatembea na madumu ya mafuta,
14. Wachafu, Ukienda mahali wanapoishi kwa wale walio mabachelor ni kama zizi la ng'ombe,
15. Wanaume wanakojoa kojoa popote tu barabarani kama mbwa,
16. Kwa wale vijana unakuta kavaa suruali kaweka chini ya makalio na anaona ni sawa tu kuonyesha nje nje nguo yake ya ndani tena chafu,
17. Unakuta wanaume wenye familia jioni wamekaa kwenye kahawa na kashata wanaongea umbea,
18. Etc
Kwa kweli nimeshangazwa sana na hawa wanaume wa Dar, hayo ni baadhi ya mapungufu yao, ila yako mengi sana!
Na jiji lenyewe ni KERO. Isiponyesha mvua ni jua kali, joto foleni na vibaka, ikinyesha mvua ni matope, madimbwi ya maji hadi mjini posta.
Kwa kifupi, wanaume wa Dar Slum mjirekebishe, wanaume hatitakiwi kuwa hivyo! Mtuige sisi wa mkoani.
Nafikiri hili nalo tatizo lingine kwa wanaume wengi wa Dar, sio wote, ni wepesi kukaririshwa na kuamini kitu ambacho ni kwa ajili ya kumvuta mtu kisiasa.Rejea hotuba ya Rais wako na wazee wa jiji la Ukawa "Dar ndiyo kila kitu".Kwa nini hujiulizi makao makuu yapo Dom lakini Boma la mjerumani anapoishi mwenye nchi lipo Magogoni?
Kwenye huu uzi wanaume wa Dar wengi wamenithibitishia hii point yako, wanapenda kuhusisha kila kitu na eidha nitaolewa Dar au nitaombwa makalio na wanaume wa Dar, ina maanisha wengi ndo wako hivyo. Wao wanaona ni kawaida kwa mwanaume kumuomba nyuma mwenzake.90% wanaume wa Dar ni mashoga haiwezekani mtoto wa kiume ujichubue alafu wakitembea wanatingisha matako yan sijui mijitu ya dar ipoje hii ni laana.