Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hujaombwa tako kweli, mbona hujaorodhesha hiyo
Kwa nini nyie wa Dar mnaniuliza haya maswali ya kipumbavu? Hivi huko Dar ina maana sodomy mnaona ni kitu cha kawaida? Nashangaa mmeshikia bango muingiliano wa mwanaume na mwanaume, kama hiyo nayo ni sifa yenu basi hongereni. Si ajabu mnatinda na nyusi ma kufanyiwa manicure na pedicure.
Mimi sikutaka kabisa kuzoeana na wanaume wa Dar, nafanya kilichonileta tena na sura ya kazi kisha naondoka! Wananiogopa kwa hilo, huwa sicheki nao. Sitaki kabisa huo upumbavu wao.
 
Matatizo yakuja mjini alaf umefikia kwa shemeji au ndugu " utaona mapungufu tu hamna cha zaidi
"Wanaume wa dar ndio wanaendesha nchi"
Angalia utashkishwa ukuta watu wahuku sio wazur.
Nimethibitisha kitu kingine kuwa mnadinyanya huko, maana kila mwanaume wa Dar lazima aandike hivyo, sio sifa ya mwanaume hiyo, eidha mfanyaji au mfanywaji, mna mapungufu makubwa ya kuwa wanaume kamili.
Hivi unajua kuwa huku tulipo ndo tunawalisha nyie? Nchi gani mnaendesha nyie? Viwanda vyote vya Dar vinatoa mali ghafi bara, pato kubwa la nchi msingi wake ni bara, unajua hilo au? Dar mmetuzidi foleni na joto. Pia ambacho mnacho huko na bara hatuna ni HAO WANAUME WENYE SIFA HIZO HAPO JUU. Wako lukuki huko.
 
Unanikumbusha story fulani niliisoma shule ya msingi

" Sizitaki mbichi hizi"
 
Umesahau kitu kimoja,chakula chao kikubwa ni chips.Wakati sisi wa mikoani tunakula ugali kila siku
Ni kweli kabisa, pia huwa nashangaa unakuta jamaa lina mwili mkubwa asubuhi anakwambia ana njaa alafu anaenda kunywa kakikombe ka kahawa kadogooooo kamoja na vikashata viwili kisha anasema kashiba, wanaume wa dar wana matatizo.
 
Vijana wa dar waswahili ukipita na cm nzuri usiku wanakuvizia wakuibie wanapenda sana kula bata lkn wengiwao pesa hawana pili kuna mashoga kibao

Hao uliowaona mashoga wametoka uko uliko,baada ya kushindwa utafutaji wakawa ombaomba na mwisho wa siku wakaamua kutoa nyago ili waendelee kuwepo Town.Mnabwabwaja nini wakati wabunge wenu wote wapo hapa Dar,hata Dada zenu wanatamani kutupata sisi watu wa Town.Unalima unakula na kunya kwa pesa toka Jiji la Ukawa.
 
Natoka saa 11 alfajiri narudi saa 11 ya jioni mkitukuta kwenye vijiwe, mida ya jioni tushatoka kutafuta maisha pale tunadilisha habari, na kupeana uzoefu wa mjini.
Sawa, ila msinielewe vibaya ndo maana nimesema 90% ya wanaume wa Dar, maana yake kuna 10% wako sawa.
 
Unaposema wanaume wa dar unamjumlisha na mzee wa safari, mzee wa majipu na wazee wengine?
 
Dar wanaume wengi wanaishi maisha ya kuigiza.
 
Dar wanaume wengi wanaishi maisha ya kuigiza.

Rejea hotuba ya Rais wako na wazee wa jiji la Ukawa "Dar ndiyo kila kitu".Kwa nini hujiulizi makao makuu yapo Dom lakini Boma la mjerumani anapoishi mwenye nchi lipo Magogoni?
 
Point zako ni za msingi na zinaelewewka japo sio zote, mfano hiyo ya makaka poa na hiyo ya kuvamiwa, sio kia mazowezo lazima ukabebe chuma au mizigo mizito kama tuko vitani bali ugomvi ni akili ya kujua kupambana na mtu, Mengine hayanihusu na wala hayajanigusa hata kidogo ingawa na mimi ni mkazi wa dar. Ngoja wenye mji wao waje wakueleze vizuri
 
90% wanaume wa Dar ni mashoga haiwezekani mtoto wa kiume ujichubue alafu wakitembea wanatingisha matako yan sijui mijitu ya dar ipoje hii ni laana.
 
Rejea hotuba ya Rais wako na wazee wa jiji la Ukawa "Dar ndiyo kila kitu".Kwa nini hujiulizi makao makuu yapo Dom lakini Boma la mjerumani anapoishi mwenye nchi lipo Magogoni?
Nafikiri hili nalo tatizo lingine kwa wanaume wengi wa Dar, sio wote, ni wepesi kukaririshwa na kuamini kitu ambacho ni kwa ajili ya kumvuta mtu kisiasa.
 
Dah siyo bure mleta uzi inaoneka dem wako alikuja Darslum akaonja sausage za huku akakumwaga
 
90% wanaume wa Dar ni mashoga haiwezekani mtoto wa kiume ujichubue alafu wakitembea wanatingisha matako yan sijui mijitu ya dar ipoje hii ni laana.
Kwenye huu uzi wanaume wa Dar wengi wamenithibitishia hii point yako, wanapenda kuhusisha kila kitu na eidha nitaolewa Dar au nitaombwa makalio na wanaume wa Dar, ina maanisha wengi ndo wako hivyo. Wao wanaona ni kawaida kwa mwanaume kumuomba nyuma mwenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…