Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Acheni kula chipsi tepe tepe na fanta. Mnaboa
chips hata mikoani mbona zipo tele tu..... au za dar zina matatizo gani? hizo fanta pia ziko tz nzima, juzi wanaume wa mwanza walizigombea kisa zimetolewa bure
 
Huwezi kuta wanaume wa mkoani wanakula chipsi tepe tepe. Yaani chips inatetemeka ndio mnakula nguvu mtatoa wapi. Hata kitandani mnahema kama mabata mzinga
Cc Dragoon
 
Njoo nikuoneshe show ya kibabe. ni PM
 
Huwezi kuta wanaume wa mkoani wanakula chipsi tepe tepe. Yaani chips inatetemeka ndio mnakula nguvu mtatoa wapi. Hata kitandani mnahema kama mabata mzinga
Cc Dragoon
Hivi hawa wanaume wa Dar ndio wenye shida ya kutowakuna wanawake vzr kunako 6 kwa 6? huwenda joto la Dar nalo linachangia lakini.
 
Wanawake wa Dar ndo watatoa jibu... sijui wakowapi,,,, ngoja waje
 
Back
Top Bottom