Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

Mkuu ina maana kila mwanaume aishiye Dar hutembea kama bata au kuna asilimia fulani? Ailimia kubwa katika kila kumi tisa wameathirika na hii mada.

Kuna uhusiano gani kati ya kutembea haraka na jinsia ya kiume au uanaeume? Kwa hio wewe una support mwanaume anaetembea kama mlenda/legelege?

Na vipi kuhusu hapa ulipolinganisha kuumbwa kwa kufanana na Mungu na utembeaji its imaginary kwamba Mungu ni super being na lazma ni active othewise asingeweza kuhudumia mahitaji ya watoto wake dunia nzima (tusijadlili sana hili thread itafungwa)

Je Biblia yako inaelezaje kuhusu utembeaji wa Mungu, unafanana na huu wa kibinadamu wa kutumia miguu? Mungu ni roho na nimwenea pote

Halafu hiyo biblia yako inaeleza ni wanaume tu walioumbwa kwa mfano wa Mungu? Wanawake wameumbwa kwa mfano wa nani? Mwanadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu

Kama jibu lako litakuwa wanawake wameumbwa kwa mfano wa Mungu, je wao kutembea kivivu ni sahihi au si sahihi? Ukijua definition ya female na male utakuwa umeshajijibu hili swali

Kama sio sahihi kwa nini umewananga wanaume tu? Na kama ni sahihi, iweje kilichofanana na Mungu kutembea kivivu?(Kumbuka imani yako inaoanisha kilichofanana na Mungu hakitembei kivivu).[/COLOR]

Angalia bolded lines
 
Huyu kakosa kazi tu unauza vocha za Tigo nn maana kuangalia wateja haraf was kiume tu unananiiiiiiiiiiii we.............we.
 
Kuna kaukweli ka mbaali hivi eti ?
Kuna siku nshamuona mwanaume amelegea ka'mpira uliyomaliziwa matumizi ! Very shame !
 
Kuna kaukweli ka mbaali hivi eti ?
Kuna siku nshamuona mwanaume amelegea ka'mpira uliyomaliziwa matumizi ! Very shame !

ahahahaha shemejiii kuna sisi ambao tunaamini ukimwi mpaka ulogwe. mpira ulokwisha tumika huwa unakuaje!??
cc: Tyta
 
Last edited by a moderator:
Sa kama wa Dar mko hivyo sa wa kule kwetu wa bonyeeeeeee mdebwedoooo si ndo balaaa!!!!
 
Hahaha hebu acha ugomvi. Ukianza kusema wanawake wa dar na matumbo kama mimba tutakutolea dirishani nakuambia
 
Mkuu ina maana kila mwanaume aishiye Dar hutembea kama bata au kuna asilimia fulani?

Kuna uhusiano gani kati ya kutembea haraka na jinsia ya kiume au uanaeume?

Na vipi kuhusu hapa ulipolinganisha kuumbwa kwa kufanana na Mungu na utembeaji

Je Biblia yako inaelezaje kuhusu utembeaji wa Mungu, unafanana na huu wa kibinadamu wa kutumia miguu?

Halafu hiyo biblia yako inaeleza ni wanaume tu walioumbwa kwa mfano wa Mungu? Wanawake wameumbwa kwa mfano wa nani?

Kama jibu lako litakuwa wanawake wameumbwa kwa mfano wa Mungu, je wao kutembea kivivu ni sahihi au si sahihi?

Kama sio sahihi kwa nini umewananga wanaume tu? Na kama ni sahihi, iweje kilichofanana na Mungu kutembea kivivu?(Kumbuka imani yako inaoanisha kilichofanana na Mungu hakitembei kivivu).[/COLOR]
mkuu usipoteze mda wako na mipumbafu
watu wanawaza kula...wanatafuta kula analeta uzumbekuku hapa fyuuuuuuuu
 
Lord have mercy
akuhurumie wewe ulo kosa na kuja kudhalilisha wanaume wenzio ulugaluga wa kishomondu huko unauleta dar watoto wa mjini wale angalie usije jiunga na kabang mix
 
Kuna kaukweli ka mbaali hivi eti ?
Kuna siku nshamuona mwanaume amelegea ka'mpira uliyomaliziwa matumizi ! Very shame !

ahahahaha shemejiii kuna sisi ambao tunaamini ukimwi mpaka ulogwe. mpira ulokwisha tumika huwa unakuaje!??
cc: Tyta

stickton_sad_walk_sm_wm.gif

drying_condom_165.jpg
 
Back
Top Bottom