Haahahaaaaa. Itakuwa labda hapendi tabia ya kuzimiwa simu, kukatiwa na kisha kuombwa tena ndoa lol.Ina maana ndani ya miaka minne hukupataga mwingine e?
Halafu yani heading na ulichokiandika ni tofauti kabisaa
Habar za lugha ya watu mkuu na wilaya yao tutakutafta tusiojulikana" kimazomo "
Naona unaongea lugha ya chato vyema sana.
[emoji1] [emoji23]
Ulivyoielewa ni sawa kabisaHiyo misses ni wingi wa miss?!
[emoji15] [emoji87]Habar za lugha ya watu mkuu na wilaya yao tutakutafta tusiojulikana