Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Haahahaaaaa. Itakuwa labda hapendi tabia ya kuzimiwa simu, kukatiwa na kisha kuombwa tena ndoa lol.Ina maana ndani ya miaka minne hukupataga mwingine e?
Halafu yani heading na ulichokiandika ni tofauti kabisaa
Ila kiswahili hiki. Acha tu Pacha.