Tabia nisiyoipenda

Tabia nisiyoipenda

Ina maana ndani ya miaka minne hukupataga mwingine e?

Halafu yani heading na ulichokiandika ni tofauti kabisaa
Haahahaaaaa. Itakuwa labda hapendi tabia ya kuzimiwa simu, kukatiwa na kisha kuombwa tena ndoa lol.

Ila kiswahili hiki. Acha tu Pacha.
 
unadevelaaaaa mkuu.... mbona kitaa kuna totoz kali tu chuchu saa 4 yann kuhangaika na huyo mjukuu wa yuda iskatioti.....

usaliti ni tabia na tabia ni kama ngozi kama alifanya mara ya kwanza jua anaweza kufanya mara ya pili

shauri yako muowe alafu mtoto akitoka mchina ndo utashika akili
 
Back
Top Bottom