misses boy
Member
- Mar 8, 2018
- 11
- 1
Tusaidiane wadau katika hili mm nikijana mwenye umri mbichi ingawa nafaa kuitwa baba,nilikuwa na mahusiano na binti mmoja ambaye hatukufikia wala kuwahi kusex nae,akawa ameenda mkoa jirani kimasomo na mm nikabaki rock city kimazomo baaada ya miez nikawa nikimpigia anakata sim yang nikavumilia muda ukazidi songa ikafikia kipindi akawa hapatikani hewani wala kwenye mitandao ya kijamii miaka minne imepita amekuja kunitafuta anaomba nimuoe na tayar alishazalishwa mtoto mmoja akaachana na jamaa huyo wa mtoto wake,na sasa nimtumishi yupo tanga,mm nipo single bado nilimpenda lakin si kwahal aliyonayo wadau ushaur wenu tafadhal nimuhim