Tabia nisiyoipenda

Tabia nisiyoipenda

misses boy

Member
Joined
Mar 8, 2018
Posts
11
Reaction score
1
Tusaidiane wadau katika hili mm nikijana mwenye umri mbichi ingawa nafaa kuitwa baba,nilikuwa na mahusiano na binti mmoja ambaye hatukufikia wala kuwahi kusex nae,akawa ameenda mkoa jirani kimasomo na mm nikabaki rock city kimazomo baaada ya miez nikawa nikimpigia anakata sim yang nikavumilia muda ukazidi songa ikafikia kipindi akawa hapatikani hewani wala kwenye mitandao ya kijamii miaka minne imepita amekuja kunitafuta anaomba nimuoe na tayar alishazalishwa mtoto mmoja akaachana na jamaa huyo wa mtoto wake,na sasa nimtumishi yupo tanga,mm nipo single bado nilimpenda lakin si kwahal aliyonayo wadau ushaur wenu tafadhal nimuhim
 
Hahaha misses boy,umri mbich na nafaa kuitwa baba....kikweli nashindwa kutoa ushauri muafaka
 
Kwa hilo jina ulilojiita huyo dada ana haki ya kukukimbia.
 
Tusaidiane wadau katika hili mm nikijana mwenye umri mbichi ingawa nafaa kuitwa baba,nilikuwa na mahusiano na binti mmoja ambaye hatukufikia wala kuwahi kusex nae,akawa ameenda mkoa jirani kimasomo na mm nikabaki rock city kimazomo baaada ya miez nikawa nikimpigia anakata sim yang nikavumilia muda ukazidi songa ikafikia kipindi akawa hapatikani hewani wala kwenye mitandao ya kijamii miaka minne imepita amekuja kunitafuta anaomba nimuoe na tayar alishazalishwa mtoto mmoja akaachana na jamaa huyo wa mtoto wake,na sasa nimtumishi yupo tanga,mm nipo single bado nilimpenda lakin si kwahal aliyonayo wadau ushaur wenu tafadhal nimuhim
 
Subiri ukiwa kijana mkavu nio umuoe maaa kwa sasa hutaweza hadi uwe mkavu,na mvua hizi sijui utakuwa mkavu lini
 
Back
Top Bottom